Asanteni kwa kutuvumilia

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,084
Ndugu zetu kwa kuwa na mwezi mgumu mwezi wa toba kwa njia ya kufunga na kufanya ibada! Ni mojawapo ya misingi ya imani yao

Tumekuwa na utamaduni wa kuvumiliana kwenye imani zetu, tumejitahidi kufanya imani zetu ziishie ndani mwetu, ni hatua nzuri ya kuigwa

Kuna nyakati katika mwezi huu tusio waislam tumekula au kunywa chochote mbele yao wametuvumilia ! Kuna baadhi ya maeneo ikiwemo Zanzibar ni shida kwa mwezi wa Ramadhan hasa kwa wasio waislam kula na kunywa ni shida na baadhi ya nchi ni kosa la kisheria na unaweza hat a kufungwa
Asanteni kwa kutuvumilia naamini funga yenu imepata thawabu mbele za Mola tunapoelekea mwisho msisahau kutukumbuka katika mialiko ya IDD
NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA IN ADVANCE kumbukeni kuendelea kutenda mema

INSHALLAH....!!!!
 
Wamekusikia mkuu, usijali watakualika ukapige msosi,..
 
Watu walishafungulia kabla ya idd kwa matusi humu jf bila shaka hata mtaani wapo hivyohivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…