good manners ni kitu cha muhimu ..
Nakumbuka kipindi kile ni shule ya msingi ..
Mwalimu anakutandika sababu hukuleta maji .
halafu baada ya kupokea hizo mboko zote unasema "ASANTE"
Na nnakumbuka wakati mdogo wangu wa mwisho akiomba kitu
au akitaka kitu mama huwa anamwambia " what's magic word"?
Vitu kama Asante, samahani, Tafadhali, Pole i muhimu sana kwa maisha ya kila siku..
Heshimu kila mtu Hujui nini kinakuja mbeleni na nani utamuhitaji.
Maisha ni safari ya wote na si mmoja.
Asante Lizzy Luu..