Asante Whatsapp umenipatia mpenzi

....mbona unalialia....!!!..kwan we umejipangaje after kumegwa kisela....?
 
Unapompenda mtu huwezi kucontrol feelings, na sisi wanawake tukipenda kweli tunajiweka mzima mzima, ndivyo ilivyo. Jamaa alitakiwa awe muwazi ili bidada aelewe kabisa ni aina gani ya mahusiano anayoingia.

Sipingani na yeye kupenda isipokuwa inabidi aelekezwe kuwa upendo sio ajali bali ni shule yenye madarasa na mitihani...

Huiwezi kuingia shule na ku-graduate wakati huo huo, inahitaji process ndefu...

By the time mtu unamuweka moyoni ni wakati ule unapojua kuwa huyo atakuwa wako na hatua hiyo ni ndoa pekee...

Kabla ya hapo hatua za awali ni kujifunza kupenda na wanaoruka hapo ndio huishia kujuta kama hivi...
 

Acha mkwala wewe.....
 
Duh.....pole sana mdada ndio ukubwa mapenzi ya siku hizi kama bongo movie tu...poa lakini subiri msamaria mwingine labda atakuja kukuoa aiseee
 
 

Hapa itabidi uchague mwenyewe nikudanganye au nikuambie uongo?.
Ila kuhusu kipigo sahau utaanzaje eti, au wacheza taikondo!!?..
 

ha ha ha ha
 

Ndugu yangu umeanza lini mazoezi ya kung-fu?
 
Hapa itabidi uchague mwenyewe nikudanganye au nikuambie uongo?.
Ila kuhusu kipigo sahau utaanzaje eti, au wacheza taikondo!!?..

Sasa jaribu ndio utaona nitakavyokupiga mpaka uniulize mimi ni mwanamke au mwanaume na hamna atakayekuokoa.
SIPENDI UTANI KWENYE MAPENZI KWELI.
 
Nshaachagachaga kabisa kusoma thread za mapenzi...title imenichanganya nikafungua
 
duuu pole jaman kama VP tuta namba yake na usave hii ya kwangu
 
Eheee... We vp kwani kupanic uko,kumegwa nimegwe mie we upanic uko vepee...relax,ngoma bado ipo hajaondoka nayo wala kuacha nembo yake..

na mimi naomba asee. Sitaondoka nayo wala sit0acha nembo yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…