IamPrince George
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 412
- 168
* ASANTE UKAWA, ASANTE LOWASSA,
ASANTE JUMA DUNI HAJI.
Ni wazi sasa Chama Cha Mapinduzi (Ccm) kimpoteza mwelekeo/ dira baada ya kuonesha dhahiri kuwa hakina mvuto tena na kimeshakataliwa na wananchi.
Siasa za Ccm zimekuwa za matusi, kejeli, maneno ya shombo yasiyoweza kumezeka kirahisi na hii ni kutokaana na Uhalali wake wa sera ku expire.
Ccm imeishiwa mipango, mikakati, mbinu, uwezo wa kujipambanua kama chama dola na kuishia kufanya siasa za chuki, siasa za kuhatarisha amani na kuchochea mapigano.
Viongozi Wakuu wa ccm ukiwaangalia utagundua kuwa hawana amani tena, wamekonda gafla na wanasigana wenyewe kwa wenyewe.
Ni wazi kabisa team ya Mikakati ya Ccm haina inachokifanya zaidi ya kukopi na kupesti mbinu za Wapinzani wao.
Lowassa amekuwa akiwatesa sana ccm mpaka kufikia hatua ya kukinzana wenyewe kwa wenyewe. Katika uzinduzi wa Kampeni za Urais kwa upande wa Zanzibar tunashuhudia Amani Karume akiwashauri Ccm kuacha siasa za matusi na chuki.
Timu ya Lowassa na UKAWA imekuwa mwiba sana kwa ccm hata kufia hatua ya kukaa vikao na kuamua kutoa,
* Takwimu za uongo kuonesha Mgombea wao kukubalika ili Ku balance ukweli wa Tafiti nyingi zikionesha Lowassa kuwa juu ya Magufuli kwa asilimia kubwa.
January Makamba anaamua kuwadanganya watanzania kuwa Magufuli anaongoza kwa kukubalika ili hali wakijua kuwa si kweli,
Matokeo ambayo wameamua kuyabadilisha ni Yale ya REDET chini ya Dr. Bana yanayo onesha
Edward Lowassa 64%
John Magufuli 26%
Edward Lowassa alikuwa akitumia msemo wa
Mchaka mchaka....
Aliselemaaa......
Ccm wakakopi..
Ukawa wajaja na..
Mabadiliko Lowassa..
Lowassa Mabadiliko..
Ccm wakakopi na kuifanya kuwa
Mabadiliko ni Magufuli..
Magufuli ni Mabadiliko.
Mbaya zaidi ni pale walipoamua kuiba mkakati wa Vuguvugu la Mabadiliko la UKAWA la M4C (Movement 4 Change) na kulichukua na kulitumia, hapa tunaona wanabadilisha tu rangi na maneno machache na kuihodhi.
Ni aibu sana sana maana hizi ndio huwa dalili za kifo.
ASANTE UKAWA.
#Mabadiliko2015
#CcmOUT2015