mjasiria2mbo
Member
- Apr 23, 2014
- 43
- 18
AMINA.. ubarikiwe baba halima loh ujaliwe baraka zote usichepuke wakati wa malezi ya mwanao... kuwa na mama kila mahali lohhh ubarikiwe aisee duh natamani aisee... jamani
Kama shemeji alikuwa analala sebuleni.
Tegemea sasa mama mkwe,mawifi, mke wa shemeji,binamu, shangazi wa mume kuja kujazana kwenye kisebule chako kukukanda maji na kukushindilia mi mitori.
Hongera mwaya.
Eeee mola na mie nijaaalie 2016 kibaby girl.
2016 hahahaa, shost ngoja niseme AMEN
Baba Halima tena
tubadilishane basi,,,nikupe ka kiume......maana wameeanza kunitunishia misuli.....hahahahaaa...hongera