Maneno Meier
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 2,469
- 1,697
Asante sana Mbunge Lema umenena mambo mazuri sana. Hata mimi , kama nimekuelewa vizuri, naona maendeleo ambayo yako nchini ni maendeleo ya vitu na sio maendeleo ya watu na ambayo sio future ya watanzania.
Rais Magufuli ana tuaminisha sisi kuwa analeta maendeleo ya watu. Wakati ukweli sio hivyo. Maendeleo yanayo letwa na Rais wetu naona yanaelekezwa zaidi kwenye vitu zaidi badala ya watu.
Katika utalii naona Waziri Kigwangala bado hajajua strategy ya kuiwezesha nchi yetu kuwa na watalii wengi. Ndege peke yake sio solution. Brain wash ndiyo solution. Nisameheni kwa kulitumia hili neno kwa makusudi.
Nimesha wahi sema mara nyingi sana kuwa kuwatumia ma Stars kama Willy Smith na Prominent persons kama Rais Obama na Prince William wanao kuja likizo na familia zao, kama njia ya kuwa vutia watalii, hiyo haita work hata mara moja.
Kama tunataka kuwatumia prominents ili kuutangaza utalii wetu, basi hatuna budi kuwa wabunifu. Kwa mfano; tunaweza mtumia Willy Smithy, akiwa kama agent anayezuia biashara ya meno ya tembo, katika filam ambayo tumeibuni sisi wenyewe inayo husu kuuawa kwa Tembo wetu na majangili kwa ajili ya biashara ya meno ya tembo, tuseme nchini China, na Rais Obama akawa kama Rais wa Amerika anaye shirikiana na Willy Smith kutokomeza biashara hiyo ambayo ina athiri wanyama na Mbuga zetu.
Filim hiyo ikiwa na mafanikio na ikionyeshwa kwenye cimemas zao na kwenye Videos na Media nyingine kama Youtube, hapo ndipo watu wengi watataka kuja kwetu.
Niwape mfano, ile filim ya King Lion, ime wafanya wazungu wengi wajue kuwa kuna nchi anaitwa Madasca na lugha ya kiswahili kwa upande mwingine kujulokana.
Njiani nyingine ambayo ni muhimu sana, ni njia ya kiwatwanga wazungu kwa matangazo ya mbuga zetu kwenye Media zao kama BBC, CNN, CNBC, Al Jazeera na kadhalika.
Tofauti tuliyo nayo ukilinganisha na maendeleo ya wachina ni kwamba wachina wana produce manufactured goods zilizo kuwa designed na wenyewe na nyingine kuwa designed nje, wakati sisi bado tunategemea agricultural products na madini yetu ambayo bado hayajaanza kutuingizia faida tunayostahili.
Hayo madege anayo yanunu na mabasi ya mwendo kasi akiondoka walakini wa kufa ni mkubwa sana. Labda tumpate kiongozi mwingine ambaye atakuwa kama yeye ili kuendeleza aliyo pacha