jana aliniacha hoiii alivyo sema serikali ya awamu ya 3,4 raisi aliteua watu ambao walimshauri vibaya na wasiojua wanachokifanya, nkasema j.k watatifuana ila j.k akajikaza akaja mbele nakusema semasemaaemaaa mmmh mkwere hana hasira yule
Wapiga diri, wazembe, wavivu na wale wa kula kulala mwisho wao ndo huu ..ni lazima watu wafanye kazi kwa maendeleo ya nchi yao, ni lazima tupunguze wadai haki na huku wakikwepa kutimiza wajibu wao ..Hapa kazi tu.
Kuliaibisha taifa kwa kumwabia mwandishi "Unanionea au Suala la ufisadi ni gumu". Sasa anajiandaa kwenda kufanya nini kama kila kitu anaonewa. Hata akiambiwa akakague gwaride atasema naonewa. HAFAI HUYU.
Mimi namwamini Pombe, walafi wote waliiba pesa zetu miaka nenda rudi ni wakati wao wa kuhama nchi ni lazima Lowasa aka Jambazi Sugu na genge lake la wahuni wafikishwe kwenye vyombo vya dola, mwanaume wa shoka atakapoapoishwa rasmi. Na uzuri moja Pombe hakupigiwa debe wala kutayarishwa kuchukua usukani. Come on pombe show them.
BTW Mbowe -Judas Iskariot huyu tuta-deal naye baada ya uchaguzi maana anafikiri bado watanzania ni wajinga. Its time to send him back packing where he belongs.