Usichanganye mambo na matusi ya rejareja, naomba uendeleze heshima kwa wanaokufahamu maana sii afya ya mjadalaInakuuma sema huna jinsi, acha kujizungusha zungusha ka demu kuwa wazi tu kwamba ishu za mshikaji we ni moto na maji ...mwanaume ananyoosha maelezo daima
Na wewe unakera na huo utalii wako kwa bus la first class. Ni upuuzi mtupu.Unanikera na neno "upuuzi"
Kwa maana mimi naona aliyenunu makinda ya ndege ndiye "mpuuzi"
Wewe unapanda usafiri gani?..Hizo ndege zinazokwama njiani yani hata kwa bure sipandi..
Na wewe unakera na huo utalii wako kwa bus la first class. Ni upuuzi mtupu.
Hiyo laki sita sio m6Sidhani kama kuna ukweli hapo milioni sita dar to bukoba!!!
Nchi haiendelei sababu ya watu kama wewe. Kazi yako unasubili tangazo la ukuta na kata funua unaanza kushangilia.Hizo ndege kwa ndani hazitofautiani saaana na bus za kampuni ya newforce ziendazo kahama to Dar.
Ni bora nifanye utalii wa ndani kwa bus first class.
Hizo bombadier ni hatari zinapotua kutokana na kufungwa matairi ya bajaji.
Nchi imekuwa safi sana mpaka sherehe za uhuru zimerejeshwa eeeh?Nchi haiendelei sababu ya watu kama wewe. Kazi yako unasubili tangazo la ukuta na kata funua unaanza kushangilia.
Wewe hata kupanda ndege bado, sasa unalalamika nini?Mpuuzi ni yule anayepanda kidege ambacho hata jinsi ya kutua ni shida!!!! Arusha kilitaka kuingia kusalimia vicheche porini.
Mwanaume unakuwa straight na si kujiuma uma ..siku nyingine kuwa mwanaume. Ni somo tu usilie lie hapa Jf.Usichanganye mambo na matusi ya rejareja, naomba uendeleze heshima kwa wanaokufahamu maana sii afya ya mjadala
Sema su!! Nikubandike tusi la usoni kwa kiungo cha faraghani.Mwanaume unakuwa straight na si kujiuma uma ..siku nyingine kuwa mwanaume. Ni somo tu usilie lie hapa Jf.
Wewe ndiyo mjinga na mpumbavu! Kuna sehemu amesema yeye ni mhaya?! Au ukikaa kagera Unakuwa mhaya automatically?!! Mshenzi kabisa wewe,,, ukabila utakuoaMhaya ni shida sana..
Ww umepanda ndege tu unatangazia umma.. Hivi wahaya mna matatizo sana kupenda sifa za kijinga jinga..
Ushamba unawasumbua sana
Kweli wewe msukuma tena wa kahama ndege umeifahamia wapi ?? Mkoani kwako hakuna uwanja wa ndege lazima uishi kwa kuongea yale unayo yafahamu mpka umri wako sizan kama ushawahi kupanda ndwgw viwanja vya ndegw unavisikia tu kwenye stand na pichaHizo ulizozitaja zinaizidi bombadier, hata newforce ambazo zipo chini kiubora kuliko hizo marcopolo G7 zinai challenge Bombadier.
Kuhuru tairi za bajaji nisubiri hapo hapo nikuletee kapicha.
Naona soko la ndege likifa kabisa hapa TZ.
Serikali inatumia ubabe wake kushusha bei za ndege na kuziua kampuni nyingine. This not fair.
Mbaya zaidi matangazo ya ATCL ndio yanaibua hisia mbaya kwenye biashara hii. Tangazo linasema watanzania tuwe wazalendo kwa kupanda ndege zetu, utafikiri hizo ndege zingine hazilipi kodi au hazina manufaa yyte.
Huna hela..wenye hela watapanda tu.Hizo ndege zinazokwama njiani yani hata kwa bure sipandi..
Kama serikali yenyewe ni ya kichawi,unategemea niniSiku Zote Wachawi Wa Serikali Ni Wapinzani Uchwara, Hongera Mkuu Kwa Kuliona Hilo.
Kweli wewe msukuma tena wa kahama ndege umeifahamia wapi ?? Mkoani kwako hakuna uwanja wa ndege lazima uishi kwa kuongea yale unayo yafahamu mpka umri wako sizan kama ushawahi kupanda ndwgw viwanja vya ndegw unavisikia tu kwenye stand na picha
Hata mwendo kasi haikupokewa kwa Mikono miwili ilipingwa lakini watu wanafurahia kimya kimya,Basi jifunzeni hata kuiweka kando ccm tupate mawazo mbadala mmekalia uoga kumbe Trump anaweza kuwa Rais,Heshimuni wachache muache uccmAngalau ni nafuu kuliko shilingi 600000 za Precision Air
Na ninafuu kuliko Auric +Fastjet shilingi 440000.
Ndege hizi nimegundua zitakuwa msaada mkubwa kwa watu, nasikitika hapo mwanzo sikuliona hilo!