Bomb die imekuja BK lini mkuu maana hapa hatujapokea abiria wa Bomb dieNilikuwa napinga sana ujio wa ndege, nikatoa hoja kedekede kwamba si kipaumbele.
Lakini baada ya mimi mwenyewe kuonja unafuu wa usafiri huu, nimesema asante mheshimiwa Raisi kwa uamuzi wa kishujaa kutuletea ndege.
Nimesafiri kutoka Bukoba kuja Dar kwa kutumia ndege yetu ya Bombadia kwa shilingi 325000, Japo bado ni nyingi sana lakini ni unafuu kuliko ile kampuni inayoanza na herufi P ambao wao ni zaidi ya shilingi 600,000, lakini pia ni nafuu kuliko kuunganisha ndege ya Auric +Fastjet.
Mheshimiwa Raisi, japo kuna unafuu ninakuomba juhudi ziendelee ili bei iweze kushuka zaidi na Watanzania wengi wanufaike na usafiri huu.
Pia nimegundua kuwa kwa sisi kuwa na shirika letu bora la ndege na la kisasa itarahisisha movement ya Watalii ndani ya nchi, Ifahamike kuwa Utalii ni sekta inayoongoza kutupatia fedha za kigeni, kwa hiyo ni muhimu sana kuwa na shirika la ndege imara ili kuhudumia sekta hii.
Zidumu Bombadia, na Zidumu juhudi sahihi za mheshimiwa Raisi wetu!
Wewe fanya tu, unamlalamikia nani sasa. Kwani kuna mtu amekukataza kufanya utalii wa ndani kwa bus first class?...Ni bora nifanye utalii wa ndani kwa bus first class...
Na wewe tutolee vipropaganda vyako uchwara hapa.Wewe fanya tu, unamlalamikia nani sasa. Kwani kuna mtu amekukataza kufanya utalii wa ndani kwa bus first class?
Ha ha ha, acha upuuzi wako nenda katalii na bus la first class.Na wewe tutolee vipropaganda vyako uchwara hapa.
Mnataka kuwafanya watanzania malimbukeni wa tundege!!????
Zilishakuwepo mpaka Boeing hapa hapa tiizii
Hazikufanya lolote!!!
Sembuse hizi mapanga nnshaaaaa!!!
hujui unenalo hebu pita hiv......mara unafuu mara apunguze what are u real trying to say?usitukane wakunga.......Nilikuwa napinga sana ujio wa ndege, nikatoa hoja kedekede kwamba si kipaumbele.
Lakini baada ya mimi mwenyewe kuonja unafuu wa usafiri huu, nimesema asante mheshimiwa Raisi kwa uamuzi wa kishujaa kutuletea ndege.
Nimesafiri kutoka Bukoba kuja Dar kwa kutumia ndege yetu ya Bombadia kwa shilingi 325000, Japo bado ni nyingi sana lakini ni unafuu kuliko ile kampuni inayoanza na herufi P ambao wao ni zaidi ya shilingi 600,000, lakini pia ni nafuu kuliko kuunganisha ndege ya Auric +Fastjet.
Mheshimiwa Raisi, japo kuna unafuu ninakuomba juhudi ziendelee ili bei iweze kushuka zaidi na Watanzania wengi wanufaike na usafiri huu.
Pia nimegundua kuwa kwa sisi kuwa na shirika letu bora la ndege na la kisasa itarahisisha movement ya Watalii ndani ya nchi, Ifahamike kuwa Utalii ni sekta inayoongoza kutupatia fedha za kigeni, kwa hiyo ni muhimu sana kuwa na shirika la ndege imara ili kuhudumia sekta hii.
Zidumu Bombadia, na Zidumu juhudi sahihi za mheshimiwa Raisi wetu!
Unaitwa dada nani?!Interesting..Naona umetumwa.
Waliokuagizia waambie wapunguze bei ifike 150k
L.o.f.a!!!Hizo ndege zinazokwama njiani yani hata kwa bure sipandi..
L.o.f.a!!!325000/= mshahara wa watanzania wanyonge rafiki zake JPM huo
Hawa watu hawa hawana jema, kila kitu kwao ni kibaya, shingo zao ngumu. Fanya kazi yako Mh Rais wengine wanafikiriaje shauri yao!! Fastjet ilivyokuja na bei ya kutupa sidhani kama iliua biashara yoyote si eti eeeeh? Mapanga shaha ikija na bei poa inaua biashara.Naona soko la ndege likifa kabisa hapa TZ.
Serikali inatumia ubabe wake kushusha bei za ndege na kuziua kampuni nyingine. This not fair.
Mbaya zaidi matangazo ya ATCL ndio yanaibua hisia mbaya kwenye biashara hii. Tangazo linasema watanzania tuwe wazalendo kwa kupanda ndege zetu, utafikiri hizo ndege zingine hazilipi kodi au hazina manufaa yyte.
Unanikera na neno "upuuzi"Ha ha ha, acha upuuzi wako nenda katalii na bus la first class.
Nilikuwa napinga sana ujio wa ndege, nikatoa hoja kedekede kwamba si kipaumbele.
Lakini baada ya mimi mwenyewe kuonja unafuu wa usafiri huu, nimesema asante mheshimiwa Raisi kwa uamuzi wa kishujaa kutuletea ndege.
Nimesafiri kutoka Bukoba kuja Dar kwa kutumia ndege yetu ya Bombadia kwa shilingi 325000, Japo bado ni nyingi sana lakini ni unafuu kuliko ile kampuni inayoanza na herufi P ambao wao ni zaidi ya shilingi 600,000, lakini pia ni nafuu kuliko kuunganisha ndege ya Auric +Fastjet.
Mheshimiwa Raisi, japo kuna unafuu ninakuomba juhudi ziendelee ili bei iweze kushuka zaidi na Watanzania wengi wanufaike na usafiri huu.
Pia nimegundua kuwa kwa sisi kuwa na shirika letu bora la ndege na la kisasa itarahisisha movement ya Watalii ndani ya nchi, Ifahamike kuwa Utalii ni sekta inayoongoza kutupatia fedha za kigeni, kwa hiyo ni muhimu sana kuwa na shirika la ndege imara ili kuhudumia sekta hii.
Zidumu Bombadia, na Zidumu juhudi sahihi za mheshimiwa Raisi wetu!
Inakuuma sema huna jinsi, acha kujizungusha zungusha ka demu kuwa wazi tu kwamba ishu za mshikaji we ni moto na maji ...mwanaume ananyoosha maelezo daimaHizo ndege kwa ndani hazitofautiani saaana na bus za kampuni ya newforce ziendazo kahama to Dar.
Ni bora nifanye utalii wa ndani kwa bus first class.
Hizo bombadier ni hatari zinapotua kutokana na kufungwa matairi ya bajaji.
Aliyetoa mada ameandika Tsh 600,000/= ila huyo nae sijui hesabu kasomea wapi ndio kaongeza 0!Sidhani kama kuna ukweli hapo milioni sita dar to bukoba!!!