325,000/-??? Kumbuka hiyo 700,000/- ni round trip. Bado nakuwa na mashaka, ni kama kampuni ya mabasi yenye viyoyozi na choo ndani inatangaza nauli ya Dar-Arusha kwa 15,000/-. Acha tuone kama sio 'entry strategy'. All in all itaongeza ushindani ambao utavutia abiria zaidi na kufanya gharama za nauli ziwe halisi!Naona soko la ndege likifa kabisa hapa TZ.
Serikali inatumia ubabe wake kushusha bei za ndege na kuziua kampuni nyingine. This not fair.
Mbaya zaidi matangazo ya ATCL ndio yanaibua hisia mbaya kwenye biashara hii. Tangazo linasema watanzania tuwe wazalendo kwa kupanda ndege zetu, utafikiri hizo ndege zingine hazilipi kodi au hazina manufaa yyte.
Nenda kafie mbele.Naona soko la ndege likifa kabisa hapa TZ.
Serikali inatumia ubabe wake kushusha bei za ndege na kuziua kampuni nyingine. This not fair.
Mbaya zaidi matangazo ya ATCL ndio yanaibua hisia mbaya kwenye biashara hii. Tangazo linasema watanzania tuwe wazalendo kwa kupanda ndege zetu, utafikiri hizo ndege zingine hazilipi kodi au hazina manufaa yyte.
Badilisha hizo figure!
Nilikuwa napinga sana ujio wa ndege, nikatoa hoja kedekede kwamba si kipaumbele.
Lakini baada ya mimi mwenyewe kuonja unafuu wa usafiri huu, nimesema asante mheshimiwa Raisi kwa uamuzi wa kishujaa kutuletea ndege.
Nimesafiri kutoka Bukoba kuja Dar kwa kutumia ndege yetu ya Bombadia kwa shilingi 325000, Japo bado ni nyingi sana lakini ni unafuu kuliko ile kampuni inayoanza na herufi P ambao wao ni zaidi ya shilingi 6000000, lakini pia ni nafuu kuliko kuunganisha ndege ya Auric +Fastjet.
Mheshimiwa Raisi, japo kuna unafuu ninakuomba juhudi ziendelee ili bei iweze kushuka zaidi na Watanzania wengi wanufaike na usafiri huu.
Pia nimegundua kuwa kwa sisi kuwa na shirika letu bora la ndege na la kisasa itarahisisha movement ya Watalii ndani ya nchi, Ifahamike kuwa Utalii ni sekta inayoongoza kutupatia fedha za kigeni, kwa hiyo ni muhimu sana kuwa na shirika la ndege imara ili kuhudumia sekta hii.
Zidumu Bombadia, na Zidumu juhudi sahihi za mheshimiwa Raisi wetu!
Tatizo lako umesoma lakini hukuelimikaMhaya ni shida sana..
Ww umepanda ndege tu unatangazia umma.. Hivi wahaya mna matatizo sana kupenda sifa za kijinga jinga..
Ushamba unawasumbua sana
Haya ni maneno ya watu ambao ndege huwa wanaziona zikiwa angani tu! Sema uchangiwe nauli ukatoe gundu[emoji28] [emoji28]Hizo ndege zinazokwama njiani yani hata kwa bure sipandi..
Jambo jema kabisa, kwa kweli nampongeza Mkuu kwa hili, huku ndio kuwatafutia nafuu ya maisha wananchi. Hongera sana RaisTarehe 2 zimeanza route ya Mbeya Dar. Jana nimepanda bombadier nilitegemea tungesafiri watu wachache maajabu ndege ilijaa yote. Mwanzoni watu walisema atapanda nani bei kubwa nimeshangaa jana tumesafiri full, hakika ni mkombozi wetu walichokifanya ATCL tofauti na fast jet ni kwamba kwenye bombadier zetu check in ya mzigo chini ya kg 20 free wakati fastjet mzigo unaozidi kg 12 unalipia USD 15. Fast jet refreshment unanunua na ni very expensive bombadier ni free, bombadier unaweza ku councel safari at the reasonable price while fast jet are very expensive more than laki 1 na 20. ATCL mkijipanga vizuri mtalishika sana soko la ndani, njia ya Mtwara, kigoma hizo hamna mpinzani kabisa ongezeni route kama Iringa, songea nk. Iringa na Songea Auric wanatuumiza sana yaani songea one way laki 6, Iringa laki 3.5.
Kwani na halo wengine walikatazwa kusema uwe mzalendo panda nini jet au nini air acha roho ya kichawi.Naona soko la ndege likifa kabisa hapa TZ.
Serikali inatumia ubabe wake kushusha bei za ndege na kuziua kampuni nyingine. This not fair.
Mbaya zaidi matangazo ya ATCL ndio yanaibua hisia mbaya kwenye biashara hii. Tangazo linasema watanzania tuwe wazalendo kwa kupanda ndege zetu, utafikiri hizo ndege zingine hazilipi kodi au hazina manufaa yyte.
Were usipande tu mkuu c mmezoea ndege yenu ya jadi vijana wa ufipaHizo ndege zinazokwama njiani yani hata kwa bure sipandi..
Achangiwe ya nini mkuu mbona Mzee wetu wakati anazindua alisema anayesema ni bajaj atamlimpia nauli yy na akae kiti cha mbele aone bombadia inavyokata mawinguHaya ni maneno ya watu ambao ndege huwa wanaziona zikiwa angani tu! Sema uchangiwe nauli ukatoe gundu[emoji28] [emoji28]
Punguza ushamba wewe new force ndo umeona bus kali kuliko zote ukipanda G7 marcopolo wewe ama yutong F13 ya shabiby ama luxury si utachsnganyikiwa???Hizo ndege kwa ndani hazitofautiani saaana na bus za kampuni ya newforce ziendazo kahama to Dar.
Ni bora nifanye utalii wa ndani kwa bus first class.
Hizo bombadier ni hatari zinapotua kutokana na kufungwa matairi ya bajaji.
Na kuroga karoge hatujabahatisha,ukiwa ufipa nako roho inakuwa kama kiwanda cha sumuNgoja tuone kama zitadumu hata mwaka mmoja. Mv dar yenyewe haikufikusha hata miezi 6. Nasikia imepotea kimuujiza ( kimuugiza)
Hizo ulizozitaja zinaizidi bombadier, hata newforce ambazo zipo chini kiubora kuliko hizo marcopolo G7 zinai challenge Bombadier.Punguza ushamba wewe new force ndo umeona bus kali kuliko zote ukipanda G7 marcopolo wewe ama yutong F13 ya shabiby ama luxury si utachsnganyikiwa???
Huhawahi kupanda ndege maneno yako tu yanaonesha ni mkazi wa mkoa wa shinyanga pole sana kwa ushamba ulio nao.
Tairi za bajaji unalinganisha na tairi za ndege kweli ushamba mzigo.
Tarehe 2 zimeanza route ya Mbeya Dar. Jana nimepanda bombadier nilitegemea tungesafiri watu wachache maajabu ndege ilijaa yote. Mwanzoni watu walisema atapanda nani bei kubwa nimeshangaa jana tumesafiri full, hakika ni mkombozi wetu walichokifanya ATCL tofauti na fast jet ni kwamba kwenye bombadier zetu check in ya mzigo chini ya kg 20 free wakati fastjet mzigo unaozidi kg 12 unalipia USD 15. Fast jet refreshment unanunua na ni very expensive bombadier ni free, bombadier unaweza ku councel safari at the reasonable price while fast jet are very expensive more than laki 1 na 20. ATCL mkijipanga vizuri mtalishika sana soko la ndani, njia ya Mtwara, kigoma hizo hamna mpinzani kabisa ongezeni route kama Iringa, songea nk. Iringa na Songea Auric wanatuumiza sana yaani songea one way laki 6, Iringa laki 3.5.
Mie sisemi kitu mpaka zije na huku kwetu Musoma-Mara.
Hivi Dar-Mwanza round trip bei gani?
kwa sisi wachumi tunasubiri kuambiwa shirika linafanya kazi kwa hasara baada ya mwaka mmoja, hapo ndipo utajua kama hiyo bei ni ya kuleta faida au ni kuwaingiza watu ccmNilikuwa napinga sana ujio wa ndege, nikatoa hoja kedekede kwamba si kipaumbele.
Lakini baada ya mimi mwenyewe kuonja unafuu wa usafiri huu, nimesema asante mheshimiwa Raisi kwa uamuzi wa kishujaa kutuletea ndege.
Nimesafiri kutoka Bukoba kuja Dar kwa kutumia ndege yetu ya Bombadia kwa shilingi 325000, Japo bado ni nyingi sana lakini ni unafuu kuliko ile kampuni inayoanza na herufi P ambao wao ni zaidi ya shilingi 600,000, lakini pia ni nafuu kuliko kuunganisha ndege ya Auric +Fastjet.