Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,038
- 9,353
Hahahahahaaa majibu ya CCM, huku unafurahi huku unaumia, which is whichkwa shilingi 325000, Japo bado ni nyingi
Hahahahahaaa majibu ya CCM, huku unafurahi huku unaumia, which is which
Afadhali umeliona hilo.Angalau ni nafuu kuliko shilingi 6000000 za Precision Air
Na ninafuu kuliko Auric +Fastjet shilingi 4400000.
Ndege hizi nimegundua zitakuwa msaada mkubwa kwa watu, nasikitika hapo mwanzo sikuliona hilo!
Hongera mkuu kwa kuwa na moyo wa kupongeza wenzio vijana wa ufipa wanatamani wazipige hata na maguruneti ndege hizo na dangote ahame ilimradi tu wasione mafanikio ya serikali hii.Nilikuwa napinga sana ujio wa ndege, nikatoa hoja kedekede kwamba si kipaumbele.
Lakini baada ya mimi mwenyewe kuonja unafuu wa usafiri huu, nimesema asante mheshimiwa Raisi kwa uamuzi wa kishujaa kutuletea ndege.
Nimesafiri kutoka Bukoba kuja Dar kwa kutumia ndege yetu ya Bombadia kwa shilingi 325000, Japo bado ni nyingi sana lakini ni unafuu kuliko ile kampuni inayoanza na herufi P ambao wao ni zaidi ya shilingi 6000000, lakini pia ni nafuu kuliko kuunganisha ndege ya Auric +Fastjet.
Mheshimiwa Raisi, japo kuna unafuu ninakuomba juhudi ziendelee ili bei iweze kushuka zaidi na Watanzania wengi wanufaike na usafiri huu.
Pia nimegundua kuwa kwa sisi kuwa na shirika letu bora la ndege na la kisasa itarahisisha movement ya Watalii ndani ya nchi, Ifahamike kuwa Utalii ni sekta inayoongoza kutupatia fedha za kigeni, kwa hiyo ni muhimu sana kuwa na shirika la ndege imara ili kuhudumia sekta hii.
Zidumu Bombadia, na Zidumu juhudi sahihi za mheshimiwa Raisi wetu!
Sidhani kama kuna ukweli hapo milioni sita dar to bukoba!!!Nilikuwa napinga sana ujio wa ndege, nikatoa hoja kedekede kwamba si kipaumbele.
Lakini baada ya mimi mwenyewe kuonja unafuu wa usafiri huu, nimesema asante mheshimiwa Raisi kwa uamuzi wa kishujaa kutuletea ndege.
Nimesafiri kutoka Bukoba kuja Dar kwa kutumia ndege yetu ya Bombadia kwa shilingi 325000, Japo bado ni nyingi sana lakini ni unafuu kuliko ile kampuni inayoanza na herufi P ambao wao ni zaidi ya shilingi 6000000, lakini pia ni nafuu kuliko kuunganisha ndege ya Auric +Fastjet.
Mheshimiwa Raisi, japo kuna unafuu ninakuomba juhudi ziendelee ili bei iweze kushuka zaidi na Watanzania wengi wanufaike na usafiri huu.
Pia nimegundua kuwa kwa sisi kuwa na shirika letu bora la ndege na la kisasa itarahisisha movement ya Watalii ndani ya nchi, Ifahamike kuwa Utalii ni sekta inayoongoza kutupatia fedha za kigeni, kwa hiyo ni muhimu sana kuwa na shirika la ndege imara ili kuhudumia sekta hii.
Zidumu Bombadia, na Zidumu juhudi sahihi za mheshimiwa Raisi wetu!
Tuambia speed yake per km na per hourNilikuwa napinga sana ujio wa ndege, nikatoa hoja kedekede kwamba si kipaumbele.
Lakini baada ya mimi mwenyewe kuonja unafuu wa usafiri huu, nimesema asante mheshimiwa Raisi kwa uamuzi wa kishujaa kutuletea ndege.
Nimesafiri kutoka Bukoba kuja Dar kwa kutumia ndege yetu ya Bombadia kwa shilingi 325000, Japo bado ni nyingi sana lakini ni unafuu kuliko ile kampuni inayoanza na herufi P ambao wao ni zaidi ya shilingi 6000000, lakini pia ni nafuu kuliko kuunganisha ndege ya Auric +Fastjet.
Mheshimiwa Raisi, japo kuna unafuu ninakuomba juhudi ziendelee ili bei iweze kushuka zaidi na Watanzania wengi wanufaike na usafiri huu.
Pia nimegundua kuwa kwa sisi kuwa na shirika letu bora la ndege na la kisasa itarahisisha movement ya Watalii ndani ya nchi, Ifahamike kuwa Utalii ni sekta inayoongoza kutupatia fedha za kigeni, kwa hiyo ni muhimu sana kuwa na shirika la ndege imara ili kuhudumia sekta hii.
Zidumu Bombadia, na Zidumu juhudi sahihi za mheshimiwa Raisi wetu!
Milioni sita na kuna ya milioni nne nukta nne!!! Sikujua kama Bukoba ipo Canada!!!Angalau ni nafuu kuliko shilingi 6000000 za Precision Air
Na ninafuu kuliko Auric +Fastjet shilingi 4400000.
Ndege hizi nimegundua zitakuwa msaada mkubwa kwa watu, nasikitika hapo mwanzo sikuliona hilo!
leo umepata akili kidogo, kwenye nia njema sio mbaya kusifia. Ukiona wapiga kelele sasa hivi wapo kimya hawazipondei mapanga shaa ujue zinafanya vizuri.Nilikuwa napinga sana ujio wa ndege, nikatoa hoja kedekede kwamba si kipaumbele.