Kwa kuwa hakushinda kwenye hayo majimbo ulitaka wasijengewe barabara!! Kwa akili yako unafikiri JK anatoa pesa mfukoni mwake. Kama kupewa kura nyingi kwa ajili ya maendeleo JK angepata kura nyingi mikoa ya kaskazini. Isitoshe si wananchi wote waliopiga kura, JK alichaguliwa na watu milioni 6 kati ya waliojiandikisha milioni 20 and so haiwezekani aka target hao milioni 6, unafikiri atafanyaje(How). Uchaguzi ni demokrasia tu, hahitaji kutengeneza visasi kwa wananchi kama hawajakuchagua as pesa ni za walipa kodi wote hata ambao hawajakuchagua.