Asante Ndimara Tegambwage umenena vyema


mkuu hukuna wahaya wapumbavu kama wewe and unaweza kuwa mnyarwanda.Mimi natoka kijiji kimoja na Ndimara unayoeleza ni upuuz na si kwel badala ya kujadil hoja we unakuja na viloja.Tangu 2000 up to date mleba kaskazin inaongozwa na ccm mbona kamachumu haijawa wilaya?
Ndimara katoa hoja ichambue kulingana na hali iliyopo na si kujidhalilisha.
 
huyu ni msukule wa mbowe unategemea angeandika tofauti na alichokiandika?ningeshangaa.
Unaonaje kama ungejibu hoja zake? Mfano hi statement hapa, "Unaweza kwenda mahakamani – ukashitaki waliokuvua uanachama; na unaweza kushinda. Tatizo la kushinda mahakamani, katika siasa, ni kama kushindwa. Hii ni tofauti na kudai fedha. Unaweza kushinda na kujifariji kuwa umeonyesha jinsi ya kujipigania; lakini huwezi kushinda mahakamani na kurudi kufanya kazi za siasa na wale waliokuvua uanachama"
 

Kwanini wafanye kazi na mtu aliyewaita Vifaranga? Na kwanini timamu awe tayari kufanya kazi na vifaranga?
 

Mkuu, samahani kidogo, nahisi wewe haupo Tanzania na kama upo hapa Tanzania basi sio mfuatiliji wa mambo ya siasa za Tanzania. Mwenendo wa zzk kwa kila mpenda mageuzi na mfuatiliaji wa siasa za Tanzania ulikua unatia mashaka sana, hivi hata yule aliyefungia gazeti la ----------- si aliwahi kusema kufungiwa kwa gazeti lile mkono wa zzk pia upo? But unajua kilicho muudhi zzk kwenye gazeti hilo? Gazeti lilifumania mawasiliano yake na vigogo wa usalama wa taifa pamoja na viongozi wa ccm ambao CDM imekua ikiwatuhumu sana, kumbuka pia uchaguzi mkuu uliopita usalama wa taifa walituhumiwa sana kabla na baada ya kupiga kura, wengine hatuna chama lakini kwa zzk, he better go to hell! Halafu katika hotuba zake 10, labda 2 tu ndio zitakua zinamwelekeo wa kujenga chama, 8 ni kujijengea umaarufu binafsi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…