Asante Mungu ujibuye maombi ya watu wako. Asante kwa kusikia kukio cha mjoli wako mtzmweusi. Amen
Hongera unaona ulichofanyiwa na wadau hao maofisini! Nakushauri, usiwe kama wao! Mtu akikujia ana shida unamfahamu au humfahamu msaidia mpaka tone lako la mwisho! Atakutangaza kwa wema! Mungu akubariki saana!Asante sana mkuu hakika God's time is the best sijui Mungu alikuwa ananifundisha nn nina wadau wakubwa ktk maofisi mengi lakini sikupata msaada wowote nimekuja kupata kazi bila msaada wa mtu yoyote
mshaara hautoshagi ngoja ufanye kazi mwezi miezi hapo
lazima uuone mdogo
Ni kweli mkuu masai dada hata bill gates hela zote alizonazo hazimtoshi ndo mana anaendelea kutafuta lakini hata hicho kidogo nachopata namshukuru mola kwa hicho