Asante Mungu nimegundua VIRUS

Asante Mungu nimegundua VIRUS

Najiandaa kuanza kutengeneza dawa kabisa si kinga pekee,ila kwa sasa hakuna kinga yake ndio maana naogopa kuitoa hata formulae tu.

Utashangaa siku umeweka wataalam wanakutibia tatizo kwa muda ambao wewe bado unatafuta tiba.
 
Haya ndio matatizo ya Taifa zima kutazama TBC,rudisheni chanels nyingine haraka

Never take me seriously
 
Napata Mashaka na ugunduzi wako.

Kama umetengeneza virus, na huna solution yake, hiyo computer unayotumia haivipati?
 
We sema porn zako unazozidownload zimesababisha laptop na computer za hom kuharibika.

Una sambaza mavirus halafu unasema umegundua.
Kwa taarifa yako vurus hawagunduliwi wanatengenezwa.
 
Sasa kama haiwezekani kuuwawa,utagunduaje tiba.
 
IT wetu wa Kibongo kutoka Tandale![emoji123][emoji123][emoji123]
 
Habari zenu,
.
Mwaka 2001,niliamua kuwa karibu na kompyuta.Katika mambo mengi,nilikutana na neno Virus,Nilitaka kufahamu inasababishwa na nini?halafu nikafanikiwa kufahamu namna ya kukabiliana na virus iwe kwenye kompyuta ama device nyengine yeyote.Swali likaja,virus inatokanaje?nikajikita hapo!Kwa kifupi,kirusi kinachosumbua kwenye kompyuta ama kifaa kingine ni suala la kanuni tu na inakuwa,na ni kwa namna yeyote unayotaka iwe.Virus hii niliyoigundua ni hatari sana.Hakuna device inayoweza kupona,na niwaombe radhi ndugu(kama wapo humu)maana home nimeharibu laptops 3 na kompyuta 1 ya mezani(Nikiwa natest ufanisi wa virus)kwa utafiti wangu bila wao kujua.Wamepoteza pesa nyingi kwa mafundi bila mafanikio.Hatimaye baada ya miaka 18 namshukuru Mungu nimetimiza lengo langu na natangaza rasmi kugundua Virus.
,
Wenzako wanagundua virus na anti virus,

Na uhameeee nyumbani😂
 
Inaonyesha mwandishi wa nyuzi ana uelewa mdogo kuhusiana na virus na mfumo wa kompyuta.
virus.jpg


Virus kwenye kompyuta ni software iliyotengenezwa kwa coding ili iharubi mifumo ya software au kuiba taarifa.

Virus haiwezi haribu hardware kama ulivyojaribu kuelezea.

Kingine virus wa kompyuta au simu huutengenezwa kwa kutumia programming languages (coding) ili kufanikisha lengo fulani,

Kwa hiyo mheshimiwa unapotaka kutapika maaharifa ni vizuri ufanye tafiti
#jipange.
 
Back
Top Bottom