Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,250
- 2,870
Habari zenu,
.
Mwaka 2001,niliamua kuwa karibu na kompyuta.Katika mambo mengi,nilikutana na neno Virus,Nilitaka kufahamu inasababishwa na nini?halafu nikafanikiwa kufahamu namna ya kukabiliana na virus iwe kwenye kompyuta ama device nyengine yeyote.Swali likaja,virus inatokanaje?nikajikita hapo!Kwa kifupi,kirusi kinachosumbua kwenye kompyuta ama kifaa kingine ni suala la kanuni tu na inakuwa,na ni kwa namna yeyote unayotaka iwe.Virus hii niliyoigundua ni hatari sana.Hakuna device inayoweza kupona,na niwaombe radhi ndugu(kama wapo humu)maana home nimeharibu laptops 3 na kompyuta 1 ya mezani(Nikiwa natest ufanisi wa virus)kwa utafiti wangu bila wao kujua.Wamepoteza pesa nyingi kwa mafundi bila mafanikio.Hatimaye baada ya miaka 18 namshukuru Mungu nimetimiza lengo langu na natangaza rasmi kugundua Virus.