lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 791
- 417
Habari zenu wadau,
Napenda kutumia fursa hii kumshukuru Muumba mbingu na nchi kwakunipatia ajira hatimaye na mimi sasa natoka asubuhi na kurudi jioni.Vilevile napenda kuwakumbusha vijana wenzangu kwamba kukata tamaa ni mwiko na mjitahidi kutuma maombi ya kazi pindi zinapotangazwa na ipo siku Mungu atawajaria.If God can say yes nobody can say no