Asante Mungu, asante JF. Nimepata ajira!

Kwakuwa umeanza kwa kumshukru Mungu umefanya vyema hivyo basi kuwa mwadilifu katika utumishi wako. Na ahimidiwe Mungu wako.:sad:
 
Hongera kwa JF,wewe sikupi hongera kwa kupata kazi ya kuhudumia jamii bali nenda katekeleze majukumu yako ipasavyo!!
 
siwapendi wafanyakazi wa serikalini
1. Uzembe,
2. Hawana direct accountability
3. Rushwa(kwa kusingizia low salary TGS)
4. Hawakumbuki hiyo kazi sio yao, wanataka heshima na recognition
Kijana angalia haya usiwe nayo
 
Hongera sana.
Ukamshukuru Mungu kwa matoleo, na usisahau kuichangia jf ili iendelee kuwepo kwa ajili yako siku nyingine.
 

hongera sana...usitusahau lakini
 
hongera sana.. ukimtumaini Mungu yeye hashindwi jambo lolote
 
Fungu la kumi huwa linatolewa kanisani, Ukipeleka fungu la kumi kwa yatima na wajane uanondoa maana ya fungu la kumi
usitoe sadaka kwa kuangalia mtu
imeandikwa wapi......??????
 
Usiwe kafisadi katoto kwa kuwa ulisota na bodi ya mikopo mixer na bahasha baadae kwa kusaga rami ,taani, heshimu kazi....chapa kazi
america bado taifa changa hadi leo- "obama"
'
 
nawashukuru sana sana wadau kwa positive advices zenu na pongezi kedekede. Nakwenda kuzifanyia kaz kama mlivyo nishauri.
 

Hongera sana,Nakumbuka mwaka 2012 mwezi kama wa 10 ulikuja na katika hii thread.
https://www.jamiiforums.com/nafasi-...i-katika-harakati-zangu-za-kutafuta-kazi.html

 
siwapendi wafanyakazi wa serikalini
1. Uzembe,
2. Hawana direct accountability
3. Rushwa(kwa kusingizia low salary TGS)
4. Hawakumbuki hiyo kazi sio yao, wanataka heshima na recognition
Kijana angalia haya usiwe nayo

daah,,,,kweli mdau unatuchukia,ila sie tunalisongesha tu,tunafata mwongozo wa mawaziri wetu na wabunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…