Asante mh Raisi kutuletea Tanzania mpya. Hadi 2020 itakuwa vyema zaidi

Boeing

Senior Member
Apr 16, 2017
151
422
1. Tanzania ambayo hatuzikani, hatupaswi kutembeleana tuwapo katika shida kama tu wa vyama tofauti.mtu lazima aalikwe ndo aende kuzika

2. Tanzania ambayo ukiwa na mawazo tofauti ni msaliti

3. Tanzania ambayo unaweza kaa miezi hujamuona waziri akiongea

4. Tanzania ambayo hela ya rambirambi tunaelekeza kwenye miradi ya maendeleo

hadi 2020 fikra zetu zitakuwa zishakukuzoea na tutacheza ngoma moja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom