Baraka21 JF-Expert Member Joined Mar 15, 2021 Posts 1,262 Reaction score 3,194 Sep 12, 2021 #1 Baada ya Timu ya wananchi kufungwa mama katoa mkeka wa Baraza la mawaziri. Watu wamesahau kipigo cha Yanga sasa ni kujadili baraza la mawaziri. Ajenda imehama.
Baada ya Timu ya wananchi kufungwa mama katoa mkeka wa Baraza la mawaziri. Watu wamesahau kipigo cha Yanga sasa ni kujadili baraza la mawaziri. Ajenda imehama.
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 22,397 Reaction score 45,070 Sep 12, 2021 #2 Maumivu yako pale pale
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,640 Reaction score 74,503 Sep 12, 2021 #3 Yanga Haa Utawasikia Kesho Msukule Wao Tumeuchukua
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,640 Reaction score 74,503 Sep 12, 2021 #4 Kinyungu said: Maumivu yako pale pale Click to expand... Haa
Lover boi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2021 Posts 316 Reaction score 445 Sep 12, 2021 #5 Huu mkeka ni hatari
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 17,661 Reaction score 21,392 Sep 12, 2021 #6 CAF na mm hatuja sahau kabisa.
Kilenzi _Jr JF-Expert Member Joined Sep 10, 2021 Posts 301 Reaction score 1,110 Sep 12, 2021 #7 Mama kasevu jahazi
Kilenzi _Jr JF-Expert Member Joined Sep 10, 2021 Posts 301 Reaction score 1,110 Sep 12, 2021 #8 kawombe said: CAF na mm hatuja sahau kabisa. Click to expand... UMeona eeh
Kilenzi _Jr JF-Expert Member Joined Sep 10, 2021 Posts 301 Reaction score 1,110 Sep 12, 2021 #9 Aaaah wapi Kinyungu said: Maumivu yako pale pale Click to expand...
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 158,516 Reaction score 776,415 Sep 13, 2021 #10 Ukikumbushwa mechi ya Yanga na Rivers United unawageuzia baraza la Mawaziri na kutoswa kwa Chamurlilo na Kalemani[emoji23][emoji23]
Ukikumbushwa mechi ya Yanga na Rivers United unawageuzia baraza la Mawaziri na kutoswa kwa Chamurlilo na Kalemani[emoji23][emoji23]
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,487 Reaction score 68,281 Sep 13, 2021 #11 Next week mnaenda kupasuliwa vizuri Nigeria sijui mtaokolewa na nini? au midomo yenu itawaokoa.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,736 Reaction score 861,123 Sep 13, 2021 #12 Baraka21 said: Baada ya Timu ya wananchi kufungwa mama katoa mkeka wa Baraza la mawaziri. Watu wamesahau kipigo cha Yanga sasa ni kujadili baraza la mawaziri. Ajenda imehama. Click to expand... Subiri magazeti ya leo
Baraka21 said: Baada ya Timu ya wananchi kufungwa mama katoa mkeka wa Baraza la mawaziri. Watu wamesahau kipigo cha Yanga sasa ni kujadili baraza la mawaziri. Ajenda imehama. Click to expand... Subiri magazeti ya leo