Asante lowasa kwa kutuonesha unafiki wa CHADEMA

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
11,569
Reaction score
16,017
Mi kwa ufupi namshukuru sana mh. Lowasa kwa kuinunua chadema na hatimaye kupitishwa kuwa mgombea kwa kura moja ya mwenyekiti. Siku zote watu waliamini chadema ni kiboko ya mafisadi, kumbe loh wapi bwana.

Kibaya zaidi tungeweza kuwpa nchi kumbe wao ndiyo mafisadi wa kutupwa. Sasa cheki mbowe anafaulisha mabilioni tu
 
Hivi we binti unamatatizo gani umekosa bwana mbona unahangaika sana na ukawa wew huko ccm hakuna mabwana sio?
 
Misukule wa ccm katika ubora wenu, mwaka huu hakuna rangi mtaacha ona.
 
Kwani huwezi kuandika kuhusu magufuli hata mara moja au uko too obssed na ukawa
 
Waambie, maana watu wagumu kuelewa, na ukiwaambia ukweli wanadai kuwa wewe ni ccm! inamaana hakuna vyama zaidi ya ccm? hakuna watu wasio na mlengo wa chama chochote? Ukweli utabaki kuwa ukweli tu daima!
 
Mwisho wa Ukawa ni tarehe 26 oktoba

Kila siku mnasogeza siku mbele tu, muulize Tyson wenu na utabiri wake feki tangu mwaka jana kiko wapi, ndo kwanza anakimbizwa mchaka mchaka jimboni kwake na mjukuu wake.
 
Lowasa ametudhihirishia urafiki usio na unafiki walio nao Chadema kwamba hata CCM walipomkata Chadema kwa urafiki mkubwa walimpokea na kumpa nafasi ambayo ameitumikia vema. Leo kule Handeni alisema anatarajia ushindi wa asilimia 80%. Ahsante Chadema!!!! Kwa uraisi Lowasa anatosha!
 
Mi kwa ufupi namshukuru sana mh. Lowasa kwa kuinunua chadema na hatimaye kupitishwa kuwa mgombea kwa kura moja ya mwenyekiti. Siku zote watu waliamini chadema ni kiboko ya mafisadi, kumbe loh wapi bwana.

Kibaya zaidi tungeweza kuwpa nchi kumbe wao ndiyo mafisadi wa kutupwa. Sasa cheki mbowe anafaulisha mabilioni tu

Mbowe mpigadili keshaanza kuhamisha mapesa nje ya nchi kinyemela
 
Gagnija, Victoire, Nyenyere, Jingalao, na Mudawote naomba niwaalike kwenye party ya kusherehekea UKAWA kushinda. Naomba uje na baby wako kama unaye maana sitaki, naweza letewa hasira za kugaragazwa vibaya na UKAWA. Venue nitawajulisha au mchague nyie.
 
Mi kwa ufupi namshukuru sana mh. Lowasa kwa kuinunua chadema na hatimaye kupitishwa kuwa mgombea kwa kura moja ya mwenyekiti. Siku zote watu waliamini chadema ni kiboko ya mafisadi, kumbe loh wapi bwana.

Kibaya zaidi tungeweza kuwpa nchi kumbe wao ndiyo mafisadi wa kutupwa. Sasa cheki mbowe anafaulisha mabilioni tu

Wewe ni pumbafu unaacha kuwasema mafisadi ccm unahangaika na chadema!!!!!?
 
Mi kwa ufupi namshukuru sana mh. Lowasa kwa kuinunua chadema na hatimaye kupitishwa kuwa mgombea kwa kura moja ya mwenyekiti. Siku zote watu waliamini chadema ni kiboko ya mafisadi, kumbe loh wapi bwana.

Kibaya zaidi tungeweza kuwpa nchi kumbe wao ndiyo mafisadi wa kutupwa. Sasa cheki mbowe anafaulisha mabilioni tu
12112021_10203843449044939_3892930852088265146_n.jpg
 
Back
Top Bottom