Asante kwa kunichezea na kunipotezea muda

Asante kwa kunichezea na kunipotezea muda

Unaweza ukayaacha ili yakue yenyewe na yakakuteka kweli, sasa inapokuja point ukaachwa hewani ndo pale maneno kama hayo lazma yakutoke

kwan ni ndoa hiyo hadi uzidi kumganda mwenzio?hata ndoa kama haieleweki kuna sheria zake?
 
Lazma muleta uzi awe muhusika wa janga hili pande moja wapo, kusaliti au kusalitiwa,,!
 
baeleze bwana ndoa sio kiuno tuu. alafu nyie ata muambiwe ukweli kuwa hapa twagegedana tuu bado mtaleta somjo oh unajua nakupenda and all that.

tatzo mabinti tukipenda mwe.huruma yaan.ukimkuta anajieleza unaweza chapa viboko.lakin wap.had yamkute ndo akili inamkaa sawa..
 
habari za jioni.
maneno tajwa hapo juu yamekua yakisemwa na w/wake wengi na wanaume baadhi pindi mahusiano yanapovunjika.Bila kuzingatia alikua mpnz wako wa 1 au wa 873...

m hujiuliza hivi kwanini useme hivyo?
1.ulimfanyia mambo mengi mazuri ukitegemea yatamteka akili na kuto kukuacha?
2.ulijiheshimu bila kuchepuka ukijisemea peke ake ndo aujue mwili wangu?
3.ulikubal akubikiri.ukidhani ndo zawadi pekee m/me au m/ke ata changanyikiwa nayo?
4.ulikua humuombi pesa.ndo kwanza unamsaidia akikwama.
5...
.... USHAURI WANGU KWENU
Usimfanyie mtu jambo jema ukadhani ndo itakua dhamana ya kuto kukuacha..wengi hulalamika nimemsomesha,nimemfungulia biashara..n.k.

mfanyie jambo mwenzio kwa mapnz yako na si njia ya kumteka au kwa kutegemea jambo bora zaidi toka kwake..acha mapnz yakue yenyewe kati yenu..

njia nzuri ya kutojutia mahusiano.ni kumpenda mtu kwa moyo wako wote.wengne wanasema ingia hadi na viatu.fanya yale yote ungependa wewe ufanyiwe bila kutegemea something in return..mapnz yakiisha..utaumia kihisia lakini utakua na ujasiri wa kusonga mbele.kwa kua haikua rizki..

Hakika leo umeonyesha uko "strong"
 

The time you enjoy wasting,is never wasted.

Hakuna kuchezewa huwa ni kuchezeana tu.
 
Mm sisem ukweli... kuumia kwene mapenz ndo mapenzi yenyewe... ni kama kucheza kamali ukiliwa ndo mchezo, ukila inshaalah
 
viva, long live machangudoa, kwani kila leo wanaachwa na hawalalami
aidha wanakupa fursa ya kukimbiza fedha
mpaka utakapooa
sasa nyie mnaozini kwa kudhani ni halali hampaswi kulalama igeni mfano wa machangudoa manke hamna tofauti as long as hamjafunga ndoa.
 
Ukimwambia mdada kuwa unamuhitaji kwa starehe tu, na akakubali, mbeleni anaanza kufanya makeke iwe milele. Aisee wanawake wana roho ngumu sana ya uthubutu!

Kuna ninaemfahamu anatarajia mtoto wa pili kwa mtu aliemwambia tangu mwanzo hawaendi kwenye ndoa. Na bado anatumaini jamaa atabadili mawazo. May be! Ila anacheza kamari ya hatari!!

Naye atakuja kusema "asante kwa kunichezea na kuniharibia maisha".... Dada zetu wana roho ngumu sana wallah. Dah!
 
Hata Mimi sasa hivi inabidi niwe makini wanawake wananichezea na kuniacha wananipotezea muda.
 
Back
Top Bottom