Asante kwa kunichezea na kunipotezea muda

Asante kwa kunichezea na kunipotezea muda

strong gal

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
271
Reaction score
214
Habari za jioni.

Maneno tajwa hapo juu yamekuwa yakisemwa na wanawake wengi na wanaume baadhi pindi mahusiano yanapovunjika.Bila kuzingatia alikua mpenzi wako wa 1 au wa 873.

Hujiuliza hivi kwanini useme hivyo?
1.Ulimfanyia mambo mengi mazuri ukitegemea yatamteka akili na kuto kukuacha?
2.Ulijiheshimu bila kuchepuka ukijisemea peke ake ndo aujue mwili wangu?
3.Ulikubal akubikiri.ukidhani ndo zawadi pekee m/me au m/ke ata changanyikiwa nayo?
4.Ulikua humuombi pesa.ndo kwanza unamsaidia akikwama.

USHAURI WANGU KWENU
Usimfanyie mtu jambo jema ukadhani ndo itakua dhamana ya kuto kukuacha..wengi hulalamika nimemsomesha,nimemfungulia biashara..n.k.

Mfanyie jambo mwenzio kwa mapenzi yako na si njia ya kumteka au kwa kutegemea jambo bora zaidi toka kwake acha mapenzi yakue yenyewe kati yenu.

Njia nzuri ya kutojutia mahusiano ni kumpenda mtu kwa moyo wako wote.wengne wanasema ingia hadi na viatu fanya yale yote ungependa wewe ufanyiwe bila kutegemea something in return.

Mapenzi yakiisha utaumia kihisia lakini utakua na ujasiri wa kusonga mbele.kwa kua haikua riziki.
 
Kuumia kihisia ndiyo inayopelekea kukumbuka yale uliyomfanyia mwenza wako na ukamtafsiri kama ni msaliti, mshenzi, hata mwizi... utasonga mbele when you realy forget about her or him
 
habari za jioni.
maneno tajwa hapo juu yamekua yakisemwa na w/wake wengi na wanaume
baadhi pindi mahusiano yanapovunjika.Bila kuzingatia alikua mpnz wako wa
1 au wa 873...

m hujiuliza hivi kwanini useme hivyo?
1.ulimfanyia mambo mengi mazuri ukitegemea yatamteka akili na kuto
kukuacha?
2.ulijiheshimu bila kuchepuka ukijisemea peke ake ndo aujue mwili wangu?
3.ulikubal akubikiri.ukidhani ndo zawadi pekee m/me au m/ke ata
changanyikiwa nayo?
4.ulikua humuombi pesa.ndo kwanza unamsaidia akikwama.
5...
.... USHAURI WANGU KWENU
Usimfanyie mtu jambo jema ukadhani ndo itakua dhamana ya kuto
kukuacha..wengi hulalamika nimemsomesha,nimemfungulia biashara..n.k.

mfanyie jambo mwenzio kwa mapnz yako na si njia ya kumteka au kwa
kutegemea jambo bora zaidi toka kwake..acha mapnz yakue yenyewe kati
yenu..

njia nzuri ya kutojutia mahusiano.ni kumpenda mtu kwa moyo wako
wote.wengne wanasema ingia hadi na viatu.fanya yale yote ungependa wewe
ufanyiwe bila kutegemea something in return..mapnz yakiisha..utaumia
kihisia lakini utakua na ujasiri wa kusonga mbele.kwa kua haikua
rizki..

chezea wanaume wew? hawanaga aibu
 
kwenye uhusiano mnachezeana au mwanamme anamchezea mwanamke nashangaa ukimwacha mwanamke anasema umemchezea wakati mmechezeana mmmh bongo vituko tuuu
 
Kuumia kihisia ndiyo inayopelekea kukumbuka yale uliyomfanyia mwenza wako na ukamtafsiri kama ni msaliti, mshenzi, hata mwizi... utasonga mbele when you realy forget about her or him

asante kwa nyongeza yako mkuu..huruma yangu zaidi kwa binti anaye act u wifely wakati jamaa hana wazo..
 
Mmmmhhh ngumuje kumesaa...?? Wacha nijitahidi
 
Bora mimi ninae kuambia nime kutamani so naomba tuka pendane fasta then kila mtu na ustaarabu wake.

asante wanaume kama nyie ndo wazuri.hapo binti ndo aamue mwenyewe kunyoa au dred...japo mwingine ataingia na hopes za kusema utabadilika.ndo majuto yakusema umenichezea.khaa
 
kwenye uhusiano mnachezeana au mwanamme anamchezea mwanamke nashangaa ukimwacha mwanamke anasema umemchezea wakati mmechezeana mmmh bongo vituko tuuu

siyo bongo tu hata kwa obama.utaskia..HE USED ME..khaa kwan we device?
 
Unaweza ukayaacha ili yakue yenyewe na yakakuteka kweli, sasa inapokuja point ukaachwa hewani ndo pale maneno kama hayo lazma yakutoke
 
aibu wanayo sana.tatizo mabinti tunafanya mengi hadi kubinuka sarakasi za maskauti tukidhani ndoa ni kiuno tu.

baeleze bwana ndoa sio kiuno tuu. alafu nyie ata muambiwe ukweli kuwa hapa twagegedana tuu bado mtaleta somjo oh unajua nakupenda and all that.
 
Back
Top Bottom