Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,048
- 3,415
Mtoto ni shombe shombe, mtoto ni laini laini hata kuvunja biskuti hawezi. Sawa, siku mkishindwana uje tena kupandisha uzi kuishukuru Jf ikutafutie mwingine.
huogopi kuagwa kwa lugha ya kimalkia tena?Mkuu, nipe namba za hao wawil walio Salia
Hivi kumbe haya mambo yana wezekana kabisa humu jf ?Wakuu, kama mnakumbuka, nilishapandisha uzi hapa jukwaani kueleza kuwa natafuta mke namba mbili. Nilitoa vigezo ktk uzi huu Ninatafuta mke wa pili. - JamiiForums.
Niliwapa fursa wana jf walio interested na ndio niliowapa kiapaumbele.
Statistics ya maombi ilikua hivi:
Walioomba jumla ni 32.
Waliokidhi vigezo ni 3
Ambao hawajakidhi vigezo ni 29.
Hao watatu, aliyekua top ni kutoka Zanzibar, aliyefuata ni kutoka singida, na wa huyo mwingine ni kutoka dsm.
Ktk mchujo wa hao watatu, nimeamua kumchukua yule wa zanzibar kwasababu zifuatazo.
1. Mtoto ni Shombe shombe
2. Mtoto ni laini laini
3. Mtoto ni anawakawaka.
4. Mtoto ni ana natural long hair (loh, nipewe nini mimi Mjina)
5. Mtoto ni ana sauti nzuri.
Ndoa tutaifunga next month, mbezi kwa msuguli ndipo sherehe itakuwepo baada ya ndoa kufanyika huko znz. Nitawajuza Tarehe.
Posa ninapeleka Tarehe 25 zanzibar
Ahsanteni sana jf...
Hahaa, acha tu mzee. Kumbe unaukumbuka ule uzi wanguhuogopi kuagwa kwa lugha ya kimalkia tena?
oooh ulipigwa chini vibaya mno tena kwa ngeli kali hadi vichomiHahaa, acha tu mzee. Kumbe unaukumbuka ule uzi wangu
Don Clericuzio, usinitengenezee maana. Kushindwana kwenye mapenzi ni jambo la kawaida sana, hakuna kuombeana mabaya hapo, ni kukumbushana tu; njia uliyopita mwanzo kutumia kupata unachokitaka, unaweza kuitumia njia hiyo hiyo pia kwa wakati mwingine.
Hahahaaa aiseeeeeh!!!Mambo yanakwenda mbiyo sana, tangazo tar 23 Sept 2018, tar 3 Oct 2018 (10 days) biashara ishafungwa!
Mdogo wangu cute b umeikosa hii bahati ya kuendesha Brevis.