Asante JF Founder

Duuuh hii couple ya aina yake!
 
Nakushauri changia jf upate baraka ,tunatarajia kuona kitag pembeni unawakawaka na tanzanite
 

wakuu kweli huwezi amini lakini that is how happen .i came to have intensive chat with my man we are happy
 
Mimi hujawahi kunihonga...something is wrong here...:glasses-nerdy:

hujataka tu, nshakumbembelezaga sana tu, sasa hivi ni zamu yako kunianza, wewe sema neno 1 tu kinaeleweka, hivi mnajua sisi wanawake tuna aibu za kike sasa nikikuonyeshea nia kama mara 2 hivi unielewi naona aibu kusisitizia, sema neno 1 tu basi na roho yangu itapoa.
 
ni salamu za upendo kwenu!! nipo pembeni naangalia tu upepo unavumia pande zipi!!
 
vipi shem.....?
Preta mbona hujatangaza kichuna wako uliyempata MMU! au hili jukwaa halijawahi kuwa yuzifuli kwako??? (jibu kama essay) staki majibu ya mkato! nukta!
 
Last edited by a moderator:
Wacha nizame kulee....nakuja na maneno elfu...sio moja!

 
Preta mbona hujatangaza kichuna wako uliyempata MMU! au hili jukwaa halijawahi kuwa yuzifuli kwako??? (jibu kama essay) staki majibu ya mkato! nukta!

mmmh.....mwanakwetu........mbona umenishika pabaya namna hii.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…