ahahahahhahahhaha shemejiiii!Maadili yanabana...haturuhusiwi kuwa na uhusiano wa kiMapenzi na wagonjwa wetu!
Halafu si unajua tena sie waChagga kutongoza zero...unahonga weeee, mpaka mwenyewe akuonee huruma!
jamaan mnapataje wenza wakati watu awawek picha ata majina si yao,wengine wanaume lakin utumia majina ya kike,au ndio kubahatisha
Maadili yanabana...haturuhusiwi kuwa na uhusiano wa kiMapenzi na wagonjwa wetu!
Halafu si unajua tena sie waChagga kutongoza zero...unahonga weeee, mpaka mwenyewe akuonee huruma!
hongera.na mimi nitatafuta wangu soon
Maadili yanabana...haturuhusiwi kuwa na uhusiano wa kiMapenzi na wagonjwa wetu!
Halafu si unajua tena sie waChagga kutongoza zero...unahonga weeee, mpaka mwenyewe akuonee huruma!
wenzie twala madhabahuni na madarasani shauri yake yeye abakia na maadili maadili!lolWewe ukiendekeza maadili uta doda
we Dokta mwenye vyeti unashindwa hata na MziziMkavu
mwenye wake kadhaa hapa JF..inakuwaje?
Kula kazini kwako bana lol
Wewe ukiendekeza maadili uta doda
we Dokta mwenye vyeti unashindwa hata na MziziMkavu
mwenye wake kadhaa hapa JF..inakuwaje?
Kula kazini kwako bana lol
Maadili yanabana...haturuhusiwi kuwa na uhusiano wa kiMapenzi na wagonjwa wetu!
Halafu si unajua tena sie waChagga kutongoza zero...unahonga weeee, mpaka mwenyewe akuonee huruma!
shh,siri yako usimwambie mtu.tumeshamwagana.ila ndio hivyo huwezi kumtangazia ubaya jfnilifikiri unae wako tayari?
Duh...kumbe watu wanaopoa humu, sie tumebaki tunang'aa ng'aa macho! Ngoja nami nianze kuwa 'mgaa gaa na upwa...'!
shh,siri yako usimwambie mtu.tumeshamwagana.ila ndio hivyo huwezi kumtangazia ubaya jf
Ina maana woote wanaokufuata kukuuliza
maswala ya magonjwa huja opoa hata mmoja?
au unafikiri wote ni wagonjwa kweli?
wengine wanajileta kubahatisha vitz uliyoahidi hapa lol