Ziada
Member
- Dec 27, 2013
- 82
- 17
Napenda kutoa shukrani kwa Jamiiforums na member wote katika jukwaa hili, muda mrefu nilikuwa na wazo lakufungua blog ila sijui hata pakuanzia , nashukuru nilipitia thread mbalimbali kuhusu namna ya kuanzisha blog na jinsi ya kupata google adsence.
Baada ya kufungua tu blog nilifatilia tips zote na nimefanikiwa kupata adsence ndani ya siku 13 tu.
Kikubwa sasa naomba tips za kuifanya blog yangu iwe na traffic kubwa asanteni
Baada ya kufungua tu blog nilifatilia tips zote na nimefanikiwa kupata adsence ndani ya siku 13 tu.
Kikubwa sasa naomba tips za kuifanya blog yangu iwe na traffic kubwa asanteni