Una hisa ngapi huko?Kila mwisho wa mwezi wa 6 CRDB huwa wanagawa gawio. Vipi kwa ma bank mengi nao huwa wanafanya hivyo?
Mwana hisa?Kila mwisho wa mwezi wa 6 CRDB huwa wanagawa gawio. Vipi kwa ma bank mengi nao huwa wanafanya hivyo?
Wamegawa liniSio hisa boss..huwa wanagawa kwa wateja kama makampuni ya simu yanavyofanya
Yes.. Amana Bank nao huongeza kaPercenti!!Kila mwisho wa mwezi wa 6 CRDB huwa wanagawa gawio. Vipi kwa ma bank mengi nao huwa wanafanya hivyo?
Ahaa ngoja nami nikaangalie statementSio hisa boss..huwa wanagawa kwa wateja kama makampuni ya simu yanavyofanya
unautaka uwe mrefu kama hadithi za shi..... chamsingi ujumbe umeelewekaUzi tayari...
unautaka uwe mrefu kama hadithi za shi..... chamsingi ujumbe umeelewekaUzi tayari...
Kuna kikokotoo chao nadhani. Kuna wanaopata mpaka 1m