Si kweli mazeeHii culture ya uchawa ilioteshwq na kukuzwa na Bashiru kipindi Cha Magufuli
Ilikua Hadi aibu unamsikia mkuu wa mkoa akisema hata Mungu anatakiwa kumshukuru Magufuli
Na aliyewaroga watanzania ni huyu anayewaambukiza ugonjwa wa kupigana na historia,badala ya kupambana na yaliyopo kwa sasa!Hii culture ya uchawa ilioteshwq na kukuzwa na Bashiru kipindi Cha Magufuli
Ilikua Hadi aibu unamsikia mkuu wa mkoa akisema hata Mungu anatakiwa kumshukuru Magufuli
Ukiona mtu anaandika hivo kama wazagamba jua kichwani emteSi kweli mazee
Historia ni muhimu Sana ndio maana inafundishwa shuleni Hadi vyuo vikuuNa aliyewaroga watanzania ni huyu anayewaambukiza ugonjwa wa kupigana na historia,badala ya kupambana na yaliyopo kwa sasa!
Mnauziwa ubaya wa waliopita,huku mkiliwa na waliopo,kwa kujikaanga na mafuta yenu wenyewe!
Usisahau video ya UVCCM wakipokea RUSHWA hadharani Mara na Simiyu.CCM mkiambiwa ukweli mbageuka Put-in!
Madokta wa "kihuni" kama #Kigwangalla!
Vijana Wa "Vihoja" kama #Kihongosi!
Eti wazee wa "Mipasho" kama #Bulembo!
Hapo hakuna "Taasisi",bali kuna "Wahuni" na
"Wanaupiga Uhuni Mwingi"
Unapokuwa na Wasomi wa Makaratasi kama Kigwangalla!
Aliyetumia uwaziri kustarehe na wasanii kwa gharama za wizara!
Aliyetumia muda mwingi wizarani kugombana na katibu mkuu wake,kisa anakiuka maadili ya uwaziri!
Hatimae Rais akafanya vyake,katibu mkuu akawa waziri kwa sasa.
Huku Kigwangalla ni "Chawa" kwa sasa!
Ukawa na vijana wa Vioja kama Kihongosi.
Ambaye amekomaza shingo kuachia ngazi,pamoja na kuhusishwa kwenye kashfa za kuiba fedha za jiji la Arusha kupitia mkewe!
Halafu leo na yeye anapata ujasiri wa kumkosoa aliyesababisha hiyo CCM ikabaki ilipo!
Tunajua ma-CCM mengi yanao uchungu na #Bashiru,sio kwa sababu ya kumtetea mama yao!
Bali kwa hasira za kukatishwa ulaji na Tume ya kukagua na kuratibu mali za CCM.
Iliyoongozwa na Bashiru
Ni kupitia hiyo tume ndio kina #Bulembo walitemeshwa ulaji kutoka mauzo haramu ya shule za "TAPA"
Jumuia ya wazazi wa CCM!
Ni hiyohiyo tume ya #Bashiru,iliyowatemesha kina #Nape magari ya CCM waliyojimilikisha bila haya mchana kweupe.
Ila kwa tume ya #Bashiru,na misimamo ya #JPM.
Vyote vilirudi.
Wanaompinga Bashiru leo,ndio hao walikiuza kiwanda cha uchapaji cha CCM.
Ndio hao waliokuwa wamemuuzia Yusuf Manji kituo cha television cha CCM cha "Chanel Ten"
Yoote yaliharibika,baada ya #Bashiru kufanya kazi yake kwa uadilifu mkubwa!
Tunajua kabisa,sababu zilizowafanya walamba Asali waanze na kumuweka #Bashiru pembeni mapema!
Ni kwa sababu uwepo wake kama katibu mkuu,yanayotokea sasa,yasingewezekana kamwe!
Ni mengi na Ni wengi waliotemeshwa ulaji!
Ila pia tunajua walamba asali walivyoratibu zoezi la kuwafagia wazee wakweli ndani ya CCM.
Wengine wakiponea tundu la sindano,kina Mang'ula!
Ambao hawakubahatika ndio ikawa historia.
Mmoja wa waliosalimika akazawadiwa U- Vaisi- presoo!
Tunaomba mumpinge #Bashiru kwa "HOJA" badala ya "VIOJA"
Bashiru anayajua mengi ndani ya hicho chama,tena anayajua "MABAYA" yenu kuliko "MAZURI"
Kaeni mkijua kwamba Baba wa Taifa aliacha waosia huu....
"UPINZANI WA KWELI WA CCM,UTATOKA NDANI YA CCM YENYEWE"
Yangu ni hayo kwa sasa!
Enyi Wavimba Macho wa Kuumwa na "Nyuki" wa "Asali"
Mmepigwa kauli moja tu....mnatapatapa kila kona!
Mvua yenyewe bado inakuja! Hayo ya #Bashiru ni dalili zake tu!
View attachment 2423276View attachment 2423302View attachment 2423304
Nimetumia haki yangu kusema "UKWELI" huu!
Alamsikhi
10101.
Hatuongelei historia kwa mfumo unaouongelea wewe!Historia ni muhimu Sana ndio maana inafundishwa shuleni Hadi vyuo vikuu
Ukitaka kuchagua kiongozi lazima kuijua historia yake
Yaani nyie chawa wa Bashiru safari hii mtanyookaCCM Imegeuzwa Chaka la "Wahuni!"
Madokta wa "kihuni" kama #Kigwangalla!
Vijana Wa "Vihoja" kama #Kihongosi!
Wazee wa "Mipasho" kama #Bulembo!
CCM imegeuka chaka la wahuni,msemakweli ndie adui yao!
Hapo hakuna "Taasisi",bali kuna "Wahuni" na
"Wanaupiga Uhuni Mwingi"
Unapokuwa na Wasomi wa Makaratasi kama Kigwangalla!
Aliyetumia uwaziri kustarehe na wasanii kwa gharama za wizara!
Aliyetumia muda mwingi wizarani kugombana na katibu mkuu wake,kisa anakiuka maadili ya uwaziri!
Hatimae Rais akafanya vyake,katibu mkuu akawa waziri kwa sasa.
Huku Kigwangalla ni "Chawa" kwa sasa!
Ukawa na vijana wa Vioja kama Kihongosi.
Ambaye amekomaza shingo kuachia ngazi,pamoja na kuhusishwa kwenye kashfa za kuiba fedha za jiji la Arusha kupitia mkewe!
Halafu leo na yeye anapata ujasiri wa kumkosoa aliyesababisha hiyo CCM ikabaki ilipo!
Tunajua ma-CCM mengi yanao uchungu na #Bashiru,sio kwa sababu ya kumtetea mama yao!
Bali kwa hasira za kukatishwa ulaji na Tume ya kukagua na kuratibu mali za CCM.
Iliyoongozwa na Bashiru
Ni kupitia hiyo tume ndio kina #Bulembo walitemeshwa ulaji kutoka mauzo haramu ya shule za "TAPA"
Jumuia ya wazazi wa CCM!
Ni hiyohiyo tume ya #Bashiru,iliyowatemesha kina #Nape magari ya CCM waliyojimilikisha bila haya mchana kweupe.
Ila kwa tume ya #Bashiru,na misimamo ya #JPM.
Vyote vilirudi.
Wanaompinga Bashiru leo,ndio hao walikiuza kiwanda cha uchapaji cha CCM.
Ndio hao waliokuwa wamemuuzia Yusuf Manji kituo cha television cha CCM cha "Chanel Ten"
Yoote yaliharibika,baada ya #Bashiru kufanya kazi yake kwa uadilifu mkubwa!
Tunajua kabisa,sababu zilizowafanya walamba Asali waanze na kumuweka #Bashiru pembeni mapema!
Ni kwa sababu uwepo wake kama katibu mkuu,yanayotokea sasa,yasingewezekana kamwe!
Ni mengi na Ni wengi waliotemeshwa ulaji!
Ila pia tunajua walamba asali walivyoratibu zoezi la kuwafagia wazee wakweli ndani ya CCM.
Wengine wakiponea tundu la sindano,kina Mang'ula!
Ambao hawakubahatika ndio ikawa historia.
Mmoja wa waliosalimika akazawadiwa U- Vaisi- presoo!
Tunaomba mumpinge #Bashiru kwa "HOJA" badala ya "VIOJA"
Bashiru anayajua mengi ndani ya hicho chama,tena anayajua "MABAYA" yenu kuliko "MAZURI"
Kaeni mkijua kwamba Baba wa Taifa aliacha waosia huu....
"UPINZANI WA KWELI WA CCM,UTATOKA NDANI YA CCM YENYEWE"
Yangu ni hayo kwa sasa!
Enyi Wavimba Macho wa Kuumwa na "Nyuki" wa "Asali"
Mmepigwa kauli moja tu....mnatapatapa kila kona!
Mvua yenyewe bado inakuja! Hayo ya #Bashiru ni dalili zake tu!
View attachment 2423276View attachment 2423302View attachment 2423304
Nimetumia haki yangu kusema "UKWELI" huu!
Alamsikhi
10101.
Mkuu shetani akijifanya malaika ni lazima umwambie sidanganyiki, atakua na ajenda zake binafsi ndio maana anajifanya malaikaHatuongelei historia kwa mfumo unaouongelea wewe!
Naongelea historia kwa watu kupumbazwa na kutajiwa mabaya ya waliokwisha kufwa!
Huku wakijisahaulisha wanavyoumizwa na walioko sasa!
Badala ya kudeal na maumivu ya saa hii,watu wanadeal na Makaburi!
That's what it's!
Na mbaya kabisa!Usisahau video ya UVCCM wakipokea RUSHWA hadharani Mara na Simiyu.
Katibu mkuu yupo na mkt yupo wapo kimya Badala ya kufuta uchaguzi wote Nchi nzima kujisafishwa Kwa Umma!!!
Kwa uchafu na uozo huo, iweje watu tulazimishwe kusifia Eti "Anaupiga mwingi''"
Na kwa Bashiru,CCM inawapasa kujitafakari badala ya kukurupuka kumdhihaki,wakati yeye anawajua fika kwa uozo wao.Mkuu shetani akijifanya malaika ni lazima umwambie sidanganyiki, atakua na ajenda zake binafsi ndio maana anajifanya malaika
Bashiru hajafa
Chawa ni wewe unayewaza ndani ya kitambaa cha kijani!Yaani nyie chawa wa Bashiru safari hii mtanyooka