Habari wadau. Mimi ni mtumiaji mzuri wa asali kwa ajili ya familia pia. Je asali nzuri kwa sasa ni ya mkoa ganii? Nilipata kusikia kuwa asali inayotoka Tabora kwa sasa imegundulika kuwa na madhara. Je kuna ukweli wowote?kama ni kweli je asali nzuri na bora inatoka wapi na nitaipataje. Mwenye ufahamu wa hili naomba taarifa tafadhali!

hata kigoma tumbaku inalimwa!Asali ya Tabora inasemekana kuwa inarinwa karibu na mashamba ya tumbaku na kuna uwezekano zina chembechembe za viuatilifu pamoja na sumu nyingine za tumbaku. Asali ya Kigoma ni nzuri, ni PM kama utahitaji kuipata.
Siyo kweli, hakuna asali iliyo na ubora kama asali inayotoka maeneo ya miyombo - Tabora, Rukwa, Katavi, Kigoma na sehemu za Singida - manyoni.Asali ya Tabora inasemekana kuwa inarinwa karibu na mashamba ya tumbaku na kuna uwezekano zina chembechembe za viuatilifu pamoja na sumu nyingine za tumbaku. Asali ya Kigoma ni nzuri, ni PM kama utahitaji kuipata.
kuna asali ya singida ina rangi ya cream ni nzuri mnoo inapatikana kwangu bei ni 15000 kwa lita moja.
Uongo! Asali bora inatoka Kigoma katika mistu ya Kagerankanda. Asali hili ilishapata tuzo ya kimataifa na kuzibwaga asali hizo mnazozitaja!asali bora inatoka mikoa ya nusu jangwa/yenye ukame kama dodoma singida na tabora,though mimi kuna uncle wangu anafanya kazi za utengenezaj mizinga uzalishaj wa asali uanzishaji wa makundi ya nyuki nk(kwa bwana Mizengo Pinda) alisema kuwa "asali ya dodoma ndo bora na hata sokoni ipo juu,kama ni hisa tungeita hot cake."
me niliambiwa na mtu anayefanya kazi kwenye field hyo na akanifafanulia nikaamini.Uongo! Asali bora inatoka Kigoma katika mistu ya Kagerankanda. Asali hili ilishapata tuzo ya kimataifa na kuzibwaga asali hizo mnazozitaja!