Habari wanajamvi . Naomba taarifa juu yaasali mbichi ambayo inauzwa kawaida shillingi elfu 20 kwalita moja na ile yakawaida wanauzaga elfu 10 . Tofauti ni nini? wanachanganya nasukari au wanafanyajefanyaje manake siyo nzito kama mbichi.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums