Asali kutoka tabora kwa bei nafuu

Asali kutoka tabora kwa bei nafuu

besaro

Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
53
Reaction score
40
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nauza asali asilia kutoka Tabora kwa bei nzuri nyuki wadogo lita 30,000 nyuki wakubwa lita 10,000 napatikana dar es salaam maeneo ya changanyikeni kwa mawasiliano hapa chini 0719076235/0769825138. mnakaribishwa sana
 
dacc85b43e95a1dbe11659c5b21929f9.jpg
 
kama kichwa cha habari kinavyojieleza nauza asali asilia kutoka Tabora kwa bei nzuri
nyuki wadogo lita 30,000
nyuki wakubwa lita 10,000
napatikana dar es salaam maeneo ya changanyikeni
kwa mawasiliano hapa chini
0719076235/0769825138. mnakaribishwa sana
Mkuu samahani, kwa nini asali ya chuki wadogo inabei kubwa kuliko asali ya chuki wakubwa wakati ujazo ni sawa ??
 
Mkuu samahani, kwa nini asali ya chuki wadogo inabei kubwa kuliko asali ya chuki wakubwa wakati ujazo ni sawa ??
upatikanaji wake ni mgumu sana ukifanananisha na nyuki wa kubwa mkuu. ndio maana inauzwa bei kubwa.
 
Back
Top Bottom