Asali inavyotia mshawasha kwenye foreplay

Hahahaha mtaniiiii ww na asali wapi na wapi
 
Asee usidhutu kummwagia mpenzi wa kichaga Asali,atakukata kibao akwambie sasa manka mbona unamwaga hela hiyo asee..
 
Hizi mada zitapelekea Mtu kuchongwa Mzinga..,
 
Ushauri na maneno muafaka kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…