Asali asali asalai

Asali asali asalai

Masika

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2009
Posts
723
Reaction score
30
Vp mambo wana JF
Leo nimekumbuka zamani kweli unajua ni ninii? Haya soma hapa chini

ASALI
Ali ni mtoto mtundu. Alisikia kwamba ukimfuata nyuki utakula asali.
Asali ni tamu kuliko sukari.Basi Ali akapita kando ya maua akawaona nyuki wakirukaruka.
Ali akamkamata nyuki ili ale asali.Ali akaumwa na nyuki.Ali akalia sana.Ali hakupata asali

Haya niambieni haya maneno nimeyatoa wapi kama mnakumbuka,kitu ukikijua tokea utoto hakitoki

Karibuni,nawakilisha
 
Back
Top Bottom