K kiungo New Member Joined Jun 25, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Jun 26, 2012 #1 Salam kwa wana jf wote! Mi ni mgeni kama member ila nasoma sana thread za jf. Nimeona niwe member ili niwaze kusaidia hapa na pale kwa lengo la kujifunza! Naombeni mnipokee wadau! Hata mbuyu ulianza kama mchicha!
Salam kwa wana jf wote! Mi ni mgeni kama member ila nasoma sana thread za jf. Nimeona niwe member ili niwaze kusaidia hapa na pale kwa lengo la kujifunza! Naombeni mnipokee wadau! Hata mbuyu ulianza kama mchicha!
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,861 Reaction score 13,841 Jun 26, 2012 #2 Karibu sana JF mkuu.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,207 Reaction score 75,768 Jun 26, 2012 #3 Pita ndani.
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,380 Reaction score 2,956 Jun 26, 2012 #4 W,salaam. Karibu sana.
EMPTY JF-Expert Member Joined Dec 14, 2011 Posts 978 Reaction score 1,196 Jun 29, 2012 #5 Sinabudi ya kuitikia ombi. Lakini nakunasihi bofya kwenye "Jamiiforums rules". Coz kuna kitu chaitwa BAN. Ogopa hiyo kitu!!
Sinabudi ya kuitikia ombi. Lakini nakunasihi bofya kwenye "Jamiiforums rules". Coz kuna kitu chaitwa BAN. Ogopa hiyo kitu!!
stineriga JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 2,172 Reaction score 892 Jun 30, 2012 #6 wasalam, karibu jf,
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Jul 2, 2012 #7 Karibu sana
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,207 Reaction score 75,768 Jul 3, 2012 #8 Pita ndani.