Asaidiwe vipi! True story

tatzo uo ushauri hatak kuufanyia kzi..na mara kadhaa uko nyuma ashajaribu akajirudisha mweneyw tna
Mahojiano haya yamenichekesha sana. Ila THE BOSS yuko right kabisa!!!! Run as fast as you can and never look back!
 

I dont agree with you at all. Na hii ni mentality ambayo wanawake wengi wa kiTZ wanayo na inawamaliza kisaikolojia maana wamejikuta waking'ang'ania mwanaume anayewanyanyasa kupita maelezo katika ndoa kisa wanaogopa watakayoyakuta huko nje. Kamwe katika maisha usitegemee furaha kutoka kwa binadamu yoyote la sivyo utakwenda na maji. Furaha utaipata kwa jinsi utakavyoamua kuyaishi maisha yako. Ndio we need each other in life but we depend on ourselves TOTALLY. Lakini kwa kusema furaha inapatikana kwa rafiki yangu huyu, au mume, au girlfriend, boyfriend etc siku huyo unayemtegemea akigeuka nyuma umekwisha.
 
tatzo uo ushauri hatak kuufanyia kzi..na mara kadhaa uko nyuma ashajaribu akajirudisha mweneyw tna

Ni kwa saabu ya uoga na hajiamini. Anahisi ataenda the maisha yatmshinda wakati kila kitu inawezekana chini ya jua kama ukiweka akili yako yote hapo. Ndio mwanzo utakuwa ni mgumu sana, tena sana lakini at some point ataweza.
 
this is true
 
tamfikishia ushauri huu
Ni kwa saabu ya uoga na hajiamini. Anahisi ataenda the maisha yatmshinda wakati kila kitu inawezekana chini ya jua kama ukiweka akili yako yote hapo. Ndio mwanzo utakuwa ni mgumu sana, tena sana lakini at some point ataweza.
 
hapa ugonjwa aliutafuta mwenyewe kwa mazingira ya uhusiano wao inaekana huyu mdada ndiyo walewale wapenda hela,,,,zembwera siku ya wamama duniani alisema ukimwona mwanaume amefanikiwa ujue kuna mwanamke nyuma yake sasa yeye aliona jamaa stndrd7 akajua amefanikiwa hivihivi ngoja atumikie amtunda ya tamaa zake form siks anashindwa ata kumtafuta fom4 ambaye uelewa wake ni mkubwa kidgo!
yaan nimejitahidi sn..hope umeelewa
 
alimpendea usharobaro wake myb..maana ata mwanzo hakua na pesa kiviile..uyu dada etu ngalau kwao walikua poa..na ikumbukwe family ya uku kwetu ilimpa mtaji shem..
 
unajua nini vile mnakera sisi wenye mapenzi yetu tunafuatilia mmmmpaka kisa mumeona shalobaro,,,,,,mpe pole na mwambie alitukataa wangapi kipindi tunafuatilia na kusepa na huyo shalobaro wa hela za masuga mumy na ajajua yanawivu hayo we acha tu, s i muda atakuwa anaambulia raha ya kunaniiii ....kwa marafiki zake kwenye story!
alimpendea usharobaro wake myb..maana ata mwanzo hakua na pesa kiviile..uyu dada etu ngalau kwao walikua poa..na ikumbukwe family ya uku kwetu ilimpa mtaji shem..
 
alimchagua alivo..ila ss ndo anajutia..inatokea
 
hakuna cha alimchagua alivyo...! tatizo alidhani unakumbuka shairi la USIONE UKADHANI...usione nguo kunuka ukadhnai ni mtumba....usione mbwa kubweka ukadhani kuna kitu...(sometime anabweka umbea(be loved mr eboo) ama ni mwoga.. take this oppoetunity kujifunza mimi si mnanikataa nawaangalia tu..,,vipi wewe umeisha pata?
alimchagua alivo..ila ss ndo anajutia..inatokea
 
ss kumbe unatumia nafas hii kujipigia chapuo? haya,watakuja tu..endelea kuwatafta
 
Mwanaume anajua kupenda na ana bahati ya kupendwa. Mshauri avumilie dada yako na soon atatulia tu. Huo ni upepo utapita
 
ni hivi kinds of marriages in tanzania ni 2, 1 monogamous or those which are intended to be monogamous 2, polygamous or those which are intended to be polygamous...sasa sababu huyo ameoloewa kwa kufuata msingi wa kimila bhass hiyo ndoa ni potentially polygamous..ni maneno ya section 10 ya family act 1971 laws of tanzania..sasa sijui anataka msaada upi hapo..!!
 
Hamas hajielewi nn anataka, na huyo mwanamke aangalie tu usawa mwingne, maana hakuna ndoa hapo
 
mm si mtaalamu wa mambo ya sheria..ila naamini ktk iyo sheria ya poligamy inahitaji makubaliano na mke wa kwanza..angalau afaham ni nini kinaendelea..ss yy shem anafanya kimya kimya na huku aki m-ref yy kama mlezi wa watoto na si mke..
 


  1. Hakuna haja ya ushauri kwa mtu asiyeweza kujisimamia hasa hapo katika kekundu.
  2. Msomi wa F6 Utaburuzwaje na mtundu wa std 7 bana? Hadi ushindwe kumaliza chuo kikuu (alitaka uwe tegemezi).
  3. Hakuna ndoa hapo iwapo mtu anabadili dini (sheria ya ndoa)
  4. Aachane na kuwa kivuli cha bibadamu na kuwa binadamu kamili
  5. Achukue maamuzi magumu kama ya serikali ya CCM kuvuta matokeo ya F4 ya 2012

Bazazi ni Bazazi
 
kweli kabisa Bazazi..asante kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…