Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 567
Nimeona video zahera analalamika Madagascar wamebebwa jana,kaulizwa mbona wachezaji wako wamekosa penati?anasema hata Platini na Messi walikosa penati
😂😂😂😂 hatimaye umeona!!Congo watapita njia nyeupeee kabisa,sioni Madagascar akimtoa DRC
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hatimaye umeona!!