MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
MJ1
kwa maoni yangu, mapenzi ni sehemu ya maisha na sio maisha yote. Familia iliojaa mapenzi ya kweli ni familia ambayo kila mhusika ana uwezo wa kubeba jukumu lake ipasavyo. Kuangalia uwezo na uwezekano wa kipato cha mwanaume katika uchumba/posa ni muhimu kwa stability ya familia itakayoundwa kwenye ndoa.
halaf sjui kwanini MJ1 nakuheshim sana. dah!

Klorokwin Duh............ Thanx so much for the Heshima ulonipa though I do doubt if I deserves it. Thamx anywayMJ1
kwa maoni yangu, mapenzi ni sehemu ya maisha na sio maisha yote. Familia iliojaa mapenzi ya kweli ni familia ambayo kila mhusika ana uwezo wa kubeba jukumu lake ipasavyo. Kuangalia uwezo na uwezekano wa kipato cha mwanaume katika uchumba/posa ni muhimu kwa stability ya familia itakayoundwa kwenye ndoa.
halaf sjui kwanini MJ1 nakuheshim sana. dah!
kinachofanya nikuheshim ni mabandiko yako tu, na hata nikichangia mabandiko yako sigara inabidi niweke pembeni. yaani kama umepewa ufunuo uwe unaanzisha sredi ninazozipenda na kuziheshimu.Klorokwini dah..........kwanza napenda kukushukuru kwa hiyo Heshima unipayo ingawa I doubt kama ninaideserve. But thanx my dia.
Yes I think kwa mzazi yoyote anayejua maana halisi ya maisha na yule aliye na uelewa halisi wa uhalisia wa maisha kwake slogans za love doesnt ask why and the alike hazitahold water............... even to me. Sasa najiuliza where is the so called purity of love? Je bado tunaamini slogani za mapenzi ni maua, popote huchanua zinaapply kwenye maisha ya sasa au sisi kama wazazi tunatakiwa kuput some senses kwa wenetu wenye imani juu ya penzi ni maua popote huchanua whether ni nyumbani kwa Mchoma mkaa au Mbunge.... kwa kuwaalert so that they wake up and smell the coffee of the reality of real life........kuwa mapenzi ya novel za Mills and Booms hayaapply kwenye ulimwengu huu wa mapenzi ya Karne ya 21?
sikujua una busara kiasi hiki....duh,ushalobaro umewekwa pembeni sasa.....Kloro wa ukweli ndo huyu....mimi penda wewe zaidi!!!:focus:
Hata mimi nimeshangaa, kumbe siku nyingine anakuwa serious, na kutoa mapoint kwelikweli....🙂
Aksante Klorokwini, kusema ukweli I do appreciate a lot.kinachofanya nikuheshim ni mabandiko yako tu, na hata nikichangia mabandiko yako sigara inabidi niweke pembeni. yaani kama umepewa ufunuo uwe unaanzisha sredi ninazozipenda na kuziheshimu.
bek to ze topik: Mimi tafsiri yangu ya neno love ni laziima iwe na facts mbili kwanza "hisia", pili "tathmini". unaposema kwamba umependa mwanaume ambae haujui atakuhudumia au atamhudumia vipi mtoto wako kimaisha nadhani umependa kwa "hisia" tu na "tathmini" hakuna,so penzi linakosa "thamani" na "misingi madhubuti", hivyo katika kipindi cha kuchokana ni rahisi sana haya mahusiano kufa. naweza kuwa niko wrong
sikujua una busara kiasi hiki....duh,ushalobaro umewekwa pembeni sasa.....Kloro wa ukweli ndo huyu....mimi penda wewe zaidi!!!:focus:
Hata mimi nimeshangaa, kumbe siku nyingine anakuwa serious, na kutoa mapoint kwelikweli....🙂
yaani nyinyi baada ya kuchangia sredi mnaleta habari za loliondo? kuweni serious bana. lolsiamini ninachokisoma kutoka kwake leo.....Loliondo kwa Babu kunaleta mengi....soma hio post yake ya pili......ubarikiwe Kloro!!!:focus:
siamini ninachokisoma kutoka kwake leo.....Loliondo kwa Babu kunaleta mengi....soma hio post yake ya pili......ubarikiwe Kloro!!!:focus:
Lazima waangalie kujua kwamba huko atakapoenda mwanao hatashindwa kuishi angalau maisha ya kawaida!Mtu ambae haonyeshi hata matarajio ya kufanya kitu huko mbele ni ngumu kumsukumia mwanao!
nadhani hii inategemeana na mhusika namna anavyotafsiri neno "love", kama analitafsiri kihisia basi love inaweza kuwa blind lakini kama ni ile love ya reasoning kama ninayoiamini mimi basi hii milele haiwezi kuwa "blind" kwani inaanza na hisia lakini inabase kwenye analysis kabla conclusion. haya ni maoni yangu tuAksante Klorokwini, kusema ukweli I do appreciate a lot.
Nadhani ninakupata vizuri but at the same time ninajifunza vitu vingi vipya.............haya kuprnda kwa hisia na kwa facts!............kwa jinsi ulivyoiweka hapo mydia Klorokwin ni kuwa hakuna biashara ya Love doesnt ask why wala ya love is blind.... we need to love with a purpose eh??
Kama anafata mapenzi ya kweli haijalishi atayapata wapi, mimi kama mke ambae nina watoto ningependa mtoto wangu aishi na mume mwenye hali ya kawaida ili mradi hawafi njaa sababu nimeishi maisha yote ya kimasikini na kitajiri yale ya kimaskini ndio nilikuwa na raha zaidi hakuna mfano pesa ni adui na rafiki mkubwa wa binadamu kama ukimtumia vizuri.
Nitamwambia mwanangu aangalie penzi kama amependa aende tu kuolewa na ampendae future mungu atawapa humohumo
Lizzy my darling ninashukuru sana kwa hili bandiko yaani unanifanya niwaze zaidi (na akili yenyewe hii ya kuunga na mate, upepo ukipita kidogo yaganduka) itanibidi nipombe supergluu........................... so tunapaswa kuwajuza wenetu wasahau mambo ya ;But Mum/Dady I love him, it doesnt matter whether he is rich or poor.....).
Mbona kazi tunayo, sijui kama tutaeleweka maana wakishakutana huko kwenye mafacebook na matweeter, wakagandana kuwagandua nadhani itakuwa ngumu................any social worker au mtu mwenye elimu ya child psychology here...........atusaidie wajameni malezi ya sasa ni magumu kweli