Mwaka tu posts zote hizi? Afu id yako ya zamani ni gani? Manake nahisi nakujua kabla hata sijazaliwanywa.
Yani we acha tu.... Laiti ungejua.
Ndio ujue mimi na wewe ni kitu kimoja kama naniliyu na naniliyu...
Hata mi sina hamu kabisaaaaa! Narudia sina hamu wala imani!!
Hata mi sina hamu kabisaaaaa! Narudia sina hamu wala imani!!
Mnaua bendi wajameni,.... khaaaaaa.......!!!