Jamani msiilishe upande wangu, hamuwezi jua yawezekana mkawa mnapishana na bahati. Mtakatifu mimi... Kazi yangu kutoa upako tu. Jaribuni ila msitoe siri kwa raha mtakayokutana nayo