Arusha yaendelee kupata Neema. Rais Samia atua kwa ziara ya siku mbili

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,354
Reaction score
23,759
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka,chuma cha reli ,shujaa wa Afrika na jasiri muongoza njia Ametua na kuingia ndani ya jiji la Arusha Kwa Ajili ya Ziara ya Siku mbili.

Ikumbukwe Ya kuwa Arusha ni Mkoa wa kimkakati katika suala zima la Utalii . Ni kitovu Cha Utalii Na Lango la watalii. Ndio Maana jicho la serikali limekuwa Hapo katika kuhakikisha Jiji linaendelea kuwa kivutio cha watalii na kila mtalii atakaye tua katika ardhi hiyo hajutii kuingia Nchini.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
 
Hatumuhitaji, angebaki zake tu kizimkazi ingetosha
Rais Samia ni kipenzi cha mamilioni kwa mamilioni ya watanzania. Itakuwa wewe ni lihamiaji haramu. Na muda siyo mrefu utafikiwa na kushikishwa adabu.
 
Bwana asema hivi, Je, umeua ukatamalaki? Nawe utamwambia ukisema: Bwana asema hivi, mahali pale mbwa walipoilamba damu ya Nabothi, mbwa watailamba na damu yako, naam, damu yako.
 
Rais Samia ni kipenzi cha mamilioni kwa mamilioni ya watanzania. Itakuwa wewe ni lihamiaji haramu. Na muda siyo mrefu utafikiwa na kushikishwa adabu.
Bila shaka yoyote na wewe utakuwa na elimu mbali mbali!
 
Back
Top Bottom