Arusha wakataa maandamano

Arusha wakataa maandamano

Maandamano hayana tija
 
Baada ya kukataliwa na watanzania kwenye sanduku la kura, wanajaribu hila za kuwadanganya kuwa kura zimeibiwa. Wananchi wameshutuka. Wakaandamane na wake zao, hao mabwana @ Amstaderm
 
CDM wasituchose hapa na agenda zao za maandamano
 
ndio nasherehekea hivi

Ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Ndio maana 2/3 ya watanzania hawakujitokeza kushiriki huo ushenzi uitwao uchaguzi. Ww unaweza kushangilia huo ushenzi, maana ccm haina uwezo tena wa kushindana kwa njia ya box la kura.
 
"Kwa kifupi maandamano hayatusaidii kitu chochote".

Si mmemsikia Rastafarian huyo muendesha bajaji, Arusha.

Ametoa onyo, na amewashauri pia wale watu wengine wanajazwa maneno ambayo hayana maana.

"Baba apige kazi"

"Hatuandamani" "Arusha hatutaki maandamano". Makofi, Miluzi na Vigelegele.

Habari ndio hiyo
 
Video hapo chini inatoa ujumbe.
View attachment 1618177
Hakuna Watu ambao nawaheshimu na nawakubali kama wa Arusha na ningewashangaa mno kama nao wangekuwa 'Wapuuzi' na 'Kuandamana' wakati Mshindi wa Uchaguzi Mkuu ni Chaguo lake hata Maulana / Mola na ambaye ni Dk. John Pombe Joseph Magufuli. Wapinzani jipangeni tu.
 
Ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Ndio maana 2/3 ya watanzania hawakujitokeza kushiriki huo ushenzi uitwao uchaguzi. Ww unaweza kushangilia huo ushenzi, maana ccm haina uwezo tena wa kushindana kwa njia ya box la kura.
Mkuu kabla ya Uchaguzi nakumbuka ulitoa angalizo mapema kuwa mwisho Wa Siku baada ya Uchaguzi ccm wataiba kura.n kweli yametimia.
 
Mkuu kabla ya Uchaguzi nakumbuka ulitoa angalizo mapema kuwa mwisho Wa Siku baada ya Uchaguzi ccm wataiba kura.n kweli yametimia.

Mkuu nawafahamu vizuri, hata wananchi wameshajua huo upuuzi wao, ndio maana 2/3 ya watanzania wamesusia kupiga kura. Watu wamebaki wanawachora tu. Ndio maana nawaambia waachie mitandao watu waende na maisha yao, maana hamna mtu ana mzuka na wao.
 
The moment Chadema imemkaribisha Lisu kushiriki nafasi ya urais ndio siku walipojimaliza.

Jamaa ni mharibifu yule, katuharibia Tanganyika Law Society, tumekuwa victimized kutokana na harakati zake.

Sasa Chadema Wana Mbunge mmoja na yeye kaambulia kura milioni moja na laki tisa.
 
Back
Top Bottom