Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 752
- 1,810
Waandishi wa habari wakiwemo katibu wa chama cha waandishi wa habari mkoani Arusha(APC) jina lake anaitwa Mawangi anayeandikia gazeti la Jambo Leo, Omari Moyo(gazeti Raia mwema) na Abrahamu Gwandu(Mtanzania Rai) wanashikiliwa na polisi mjini Arusha baada ya kutaka kumtapeli muhindi wa kujifanya ni Maafisa Usalama wa Taifa.
Habari zaidi tutaendelea kuwajuza.
Habari zaidi tutaendelea kuwajuza.