TIASSA JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 3,113 Reaction score 4,011 Jun 25, 2014 #1 Vipi watu waarusha vibarua huku vinapatikana wapi sehemu ambayo unaweza ukapata hata elfu 5 za fastafasta
Vipi watu waarusha vibarua huku vinapatikana wapi sehemu ambayo unaweza ukapata hata elfu 5 za fastafasta
P Prince Hope JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 2,154 Reaction score 447 Jun 25, 2014 #2 A to Z or Sunflag
K Kazegunga Member Joined Jun 24, 2014 Posts 58 Reaction score 3 Jun 25, 2014 #3 Kaulizie sehemu yeyote penye ujenzi hakika utapata
TIASSA JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 3,113 Reaction score 4,011 Jun 25, 2014 Thread starter #4 poa ngoja nitacheck
N NATTA WITO JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 228 Reaction score 97 Jun 25, 2014 #5 tiassa said: poa ngoja nitacheck Click to expand... viwandani mkuu, hata hivyo kama kweli ni vibarua hata mirerani mgodini c haba maana naona bbc wanadai watoto ndo wanafanyishwa kazi za wakubwa huko, changamkia fursa mapema.
tiassa said: poa ngoja nitacheck Click to expand... viwandani mkuu, hata hivyo kama kweli ni vibarua hata mirerani mgodini c haba maana naona bbc wanadai watoto ndo wanafanyishwa kazi za wakubwa huko, changamkia fursa mapema.