nimetokea arusha jamani kwa wanajamvi wa Arusha baadhi Mr. Rocky, Liverpool, Sweetylady na wengine naomba niwaage rasmi.
Naomba Wanajamvi wa jiji la raha na karaha i mean Dar es salaam mnipokee. Nimekuja huku kimasomoo nimmechaguliwa IFM nA pia nina mkopo.
Nawasilisha