ARUSHA TECHNICAL COLLEGE {ATC}

karare

Member
Joined
Jun 4, 2019
Posts
31
Reaction score
8
naomba msaada tafadhali
ninafanya aplication online kwenye chuo cha arusha technical college ngazi ya diploma
sasa nimefika step ya employer, position held nikashndwa kwa sababu mim sijaajiriwa na niki skip inakataa, na maelezo yao yanasema kama hujaajiriwa skip ili uendelee na hatua inayofuata.
naombeni msaada wenu, kama kuna aliyesoma ATC, au aliyefanya aplication ATC online, au mtu yoyote mwenye kufahamu hili naomba anisaidie.
 
Kuna mda website yao ya chuo inasumbua jaribu Ku apply kesho au cku nyingine au cancel uanze upya!
 
ahsante sana mkuu kwa kunihabarisha.
shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…