Halafu namba ya account ya hicho chuo inasumbua siku ya pili leo naumbuka kwa wakala wa NMB kanielekeza niende bank,sijui na huku nitaumbuka maana kila nikiweka account number ile mashine ya wakala inaandika invalid account number
Electrical &biomedical!!! Hahah si unajua wengne tunajisomesha wenyewe mkuu family support hatuna bana bt semister ya kwnz ndio inakuwaga inabana kidogo !!
Electrical &biomedical!!! Hahah si unajua wengne tunajisomesha wenyewe mkuu family support hatuna bana bt semister ya kwnz ndio inakuwaga inabana kidogo !!
Ni Bach of electrical & biomedical equipment ...here we deals with biomedical equipment as a part so kupitia hii electrical engineers wa ATC fursa zitaongezeka watafit hadi mahospitalini.