elimuSawa mkuu, dropisha contact za hapo chuo kama vip
kwasisi tulioapply mwaka huu mwezi watano kuna uhakika wa kupata kwelielimu
Bachelor ndio imeanza Mwaka jana Mkuu bado ni Course mpya na Ni chuo cha Arusha Technical tu mpaka sasa ndio kinatoa hio bachelor kwa mwaka jana wali dahiri Watu wa Diploma tuNpe details za kushiba Mkuu kuhusu bach ya electrical and biomedical inayotolewa hapo.
Mwaka jana nilikutana na third year maeneo ya Kwamorombo, ndiye aliyenikumbusha jina lake,Dah!
Nimejikuta nawakumbuka Mbosoli, Sambayuka, Belela, Mollel, Mwamafupa, Mama Hakika, Lyaro, Muro... na zaidi zaidi mzee Lugundi na Last Year!!
Idumu TCA
Sijui Anti bado yupo pale?
Kama Qualifications zipo utapata
Duh... kwahiyo yeye ndo alikukumbuka? Inaelekea ulikuwa mtaalam wa first eleven muzee...Mwaka jana nikikutana na third year maeneo ya Kwamorombo, ndiye aliyenikumbusha jina lake,
ahaa sawa mkuu naomba kujua lini majibu tutazamie yatatokaSifa unazo, Kitakacho kufanya Upate au Kukosa ni Competition ya waombaji wengine
Shukwani mkuu, lakini kwenye oas wameonesha hiyo course.
Naona kwenye tangazo lao wameweka hiyo kozi mkuu,Haipo mkuu