Goheki
JF-Expert Member
- Aug 23, 2011
- 447
- 387
Elekezeni macho na masikio mjue yanayofichwa na watawala.umeya ulipatikana kwa kupindisha sheria kwa nguvu.Wananckhi wakaandamana kutaka sheria zifuatwe,polisi wakau raia wasio na hatia.
Baada ya meya kupatikana kwa njia zisizo zakisheria viongozi wa ccm wakajiapiza Gaudesi Lyimo ni mpaka 2015 ndio atatawala.
Siku chache baada ya mauji ya polisi Kivuyo Michael akajiuzulu kama naibu meya sababu nikuungana na wananchi wa Ar kuuwawa bila hatia, pia alishauri urudiwe.Serikali haikusikia ombi hilo.
Wadau mbalimbali walijitokeza kupinga ubabaishaji huo na kutoshirikiana na meya.Askofu Josephat Lebulu alitoa kauli ya kutoshirikiana na meya hadharani na alitaka haki itendeke.
Alfonse Mawazo alijiuzulu udiwani wa Sombetini(ccm)na kujiunga na Cdm na kwa sasa anahubiri Cdm bila kificho.Sheria zipo wazi unapojiunga na chama kingine cha siasa. Pamoja na Mawazo kuandika barua ya kujiuzulu bado tume ya uchaguzi hawataki kutangaza kata hiyo ipo wazi na uchaguzi ufanyike.
Hii yote ni kuogopa kungolewa madarakani kwa meya.Mizengo Pinda pm vyote anajua ameamua kuwa hajaelimika.
Tukumbuke baada ya kauli ya askofu Lebulu,alichafulia sana na majuzi wamemkosa na bomu katika parokia ya Olasiti.
Kama uchaguzi wa madiwani ungefanyika na Cdm kufanikia kutetea kata zote nne nafasi yameya ingekuwa mashakani pia.
Bomu limerushwa kwenye mkutano wa Chadema na uchaguzi ukaairishwa hadi mwishoni kwa mwezi huu.
Itafika tarehe iliyotajwa tutaambia kuna ujio wa rais wa Marekeni au tutaambia sababu nyingine hii ni kumlinda meya wa Arusha.Je ni umeya tu? Umeya huu unatesa watu,watu wanauwawa,watu wanakuwa vilema wa kudumu,utalii unaathirika,kwanini haki isitendeke na ikaonekana haki imetendeka???
By Isango