Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,807
- 7,001
Kama jiji la Arusha linakusanya bilioni 6 kwa miezi 6 ikiwa ni sawa na bilioni moja kwa mwezi hii inaonesha jinsi gani ilivyo vigumu kwa mtu mmoja mmoja kutajirika!
Safari hii hatuangalii mtaji umepataje, tunachoangalia ni kukamua kodi tu hata ufilisike sisi haituhusu, maana hatujui shida tunakula kuku kwa mrijaKama jiji la Arusha linakusanya bilioni 6 kwa miezi 6 ikiwa ni sawa na bilioni moja kwa mwezi hii inainesha jinsi gani ilivyo vigumu kwa mtu mmoja mmoja kutajirika!
Hivi Gambo yeye alihamasishaje ukusanyaji wa mapato akiwa RC ili sasa afanye kazi ya kumkwamisha mwenzake! Jamani Mwenye clip ya Gambo akisisitiza ukusanyaji wa mapato aweke hapa tumuumbue.Nani kakudanganya? Ndugayi akipewa mmaelekezo Gambo hana ubunge
Mh.Gambo hana uwezo wa kukaidi maagizo ya Mh Ndugai kama Spika.Nani kakudanganya? Ndugayi akipewa mmaelekezo Gambo hana ubunge
na chato iwe kama wu han yuMumebaki wenyewe sasa tunataka Tanzania iwe kama uraya na Arusha iwe kama karufonyia.